Agresive
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 891
- 1,237
Hbr wana Jf na hongereni kwa majukumu.
Kipindi cha udahili wa vyuo watu wa kwenda kusoma kozi mbalimbali kinafikia ukingoni.
kwa wale wote waliopata vyuo Hongereni sana na Ambao hamjapata pia Mungu ni mwema bado 3rd selection mtapata pia.
Niende kwenye point
Nimeona topic mbalimbali Jf za watu wanaoliza kozi walizochaguliwa katika vyuo ambayo mtu anakwenda kusoma miaka 3+ halafu
1.Hajuwi kozi hiyo inahusu nini??
2.Anaweza kuajiliwa wap?
3.Ina faida gani na inawezaje kumuingiza kipato.
4.Ana nafasi kiasi gani kuajiliwa private sekta au Gvt.
Na maswali mengi yanayofanana ya hayo.
Kila mtu unakuwa na malengo yake katika maisha na tunaamini kadili unavyosoma ndivyo unavyoongeza uwezo wa kujitambua na kuchambua mambo.
umesoma darasa la 1 hadi form 6 hlf hujuwi ndoto yako?? na hujuwi unalengo la kufanya kazi gani??
Mtu makini baada ya kupata matokeo yako ya form 6 au Dplm ulipaswa utafute TCU GUIDE BOOK 2018/2019 upitie vyuo vyote ujilidhishe kozi unayotegemea kwenda kusomea inapatikan chuo gani,ada yake shilingi ngap na ajira zake zikoje na ubora na ubaya wa kozi hiyo.
Yaani wewe umefanya maamuzi ukaomba chuo, ukachaguliwa kumbe hata kozi unayokwenda kusomea na uliyoiomba mwenyewe huijuwi, unatarajia wana JF ndiyo waamue hatima ya maisha yako.
Wasomi wa TZ muwe siriasi kwa mambo ya msingi...hlf kesho una ndoto za kuwa CEO wa vodacom,CRDB, TIGO. na makampuni mengine kwa akili hiyo ambayo unaomba kozi hata hujuwi inahusu nini..
Mliomba ushaur kwa hilo mjitafakari mara mbili mbili.
Nawasilisha.