Mnaotaka kustaafu mjipange msife na njaa baada ya kustaafu

Mnaotaka kustaafu mjipange msife na njaa baada ya kustaafu

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,473
Reaction score
4,007
Ukikaribia kustaaafu anzisha biashara kwa mshahara ulio nao ili yakulipwa yakiyumba basi utaendelea kuishi. soma hapa.

WASTAAFU.png
 
Alisema tutaishi km mashetani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kama uko Dsm, fukuza watoto wakajitegemee, beba mke wako mkapange chumba kimoja alafu nyumba pangisha muwe mnakula kodi.
 
Kama walio staafu tu hawajalipwa. Je wenye kutaka kujitoa kwa kigezo cha kufukuzwa kazi itakuwaje?

Jamani Serikali muangalie wananchi wenu kwa jicho PEVU. mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.

Ni wajibu wa kila nchi wa kuwa na mifuko kama hizi zetu lakini isiwe KERO kwa wananchi wanaodai stahiki zao.

Huwa nakereka sana pale unapoambiwa njoo tarehe fulani ukienda tena maelezo yanakuwa marefu mno.

Pia hawazingatii kuwa wewe mfuatiliaji huwa unatumia mda na gharama. mfano mtu anatoka Mwanza kuja kudai stahiki zake Dar.

Sasa jiulize huyo mtu akiendelea kujizungusha mara nenda rudi kwa mda wa miaka miwili, fikiria kama ni nauli, kula na kulala atakuwa ametumia shilingi ngapi? sio chini ya milioni moja na kuendelea. na je kama alikuwa anadai milioni moja tu. ni nani ana hasara ni mwananchi au mifuko ya kijamii?

Jamani tukae chini na kutafakari upya serikali inaweza kuwasaidia wananchi wake hasa wale walio staafu na walioachishwa kazi pasipo kuweka vikwazo kama amepata kazi nyingini.
 
huo ni uchochezi..mbona baba angu alikua mtumishi wa wizara ya mambo ya ndani keshalipwa mafao yake muda mrefu tu?
 
Alisema tutaishi km mashetani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Renyewe risemaji rimeanza kunyofolewa Minofu na shetani rikiwa hai!! Lilitaka muwe wengi.

Kwani shetani si ni Mkuu wa ulimwengu jamani au??

Mbaya au nzuri zaidi devil ana undugu na Yesu. Halafu wanapiga story na Mungu kama kawa!!
Rejea kisa cha Ayubu! Uone shetani alivo mjibu Mungu.

Adamu alipokosa shetani alibonga na Mungu live!!! Wanajuana wale!!
Kuliko wewe unavo wajua.

Jiwe wa kweli alikufa zamani zileee za kuwekewa sumu.hili lililopata kura likaongoza ni rishetani flani tu.

Si unaona!! waliompenda ni vishetani vidogo pia.
 
Ukikaribia kustaaafu anzisha biashara kwa mshahara ulio nao ili yakulipwa yakiyumba basi utaendelea kuishi. soma hapa.

View attachment 684897
Huu nao ni utumwa mbaya sana ndani ya nchi yako mwenyewe!
anao uongelea Mwana falsafa mmoja humu jf Nyumisi.

Nyumisi njooo!! huku uone mambo haya....yaaani jamani si hela yao ya makatooo?
Jiwe limeacha legacy za hovyo sana. Kwa kikwete ujinga huu si kuwahi kuusikilia

Viva kikwete vivaaaa.....
 
Jiwe alikuwa kiumbe wa ajabu sana,mishahara hakupandisha,wastafu pesheni hakuna,huku yeye anatembea na manoti kugawa kwa watu asifiwe...
 
Back
Top Bottom