mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
Hivi huko munakopita hamuwaoni hao wachumba wenye sifa munazozitaka au vipofu? Shauri yenu wengine humu ni majini na wachawi wala sio watu.
Mimi ninawaambia hivyo.
Mimi ninawaambia hivyo.
Hivi huko munakopita hamuwaoni hao wachumba wenye sifa munazozitaka au vipofu?! Shauri yenu wengine humu ni majini na wachawi wala sio watu. mimi ninawaambia hivyo. oooh!!
Umejuaje kama ni Majini na Wachawi? Au ndo kujuana kwa vilemba?
mie siwaoni. nakosa muda.
We mzee mapenz acha ushamba wako, mapenz yanaanzia kokote, watu tunakutana na watu kwenye vyoo vya club na mapenz yanaanzia hapo sembuse jf..
Vp ushampata?
Hujampata bado?
Hahahahaaa!! Sijapanga ratiba badoweekend hii club gani utakuwa ili tukukatane tulianzishe hahahahaaa...
Hujampata bado?