wewe ulisafiri ama ulisindikiza msafiri?
noise pollution is prohibited...
Nilikuwa hapo uwanja wa ndege wa JK Nyerere,. Lkini nmeshangazwa na sauti za wale watangazaji wanaotangaza mda wa ndege kuondoka. Wanatangaza kwa sauti ya chini sana, sijui mnasikiaje?
wenyewe tumezoea tunasikia vizuri tu.
RRONDO acha urongo. nakujua fika hujawahi kupanda ndege. hata boti ya Bakhresa hujawahi kupanda. Usijitafutie ujiko bure.