Mnaosafiri: Fuso bovu daraja la Wami

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,569
KWA mnaoendelea NA safari usiku huuu kuelekea MOSHI NA TANGA KUNA FUSO MBOVU BAADA YA DARAJA LA WAMI TAFADHALI HAKIKISHA UNAENDA SPEED NDOGO TU

NAWASHAURI MTUMIE SPEED ZA KAWAIDA KUOKOA UHAI WA WATU

AHSANTEN
 
Kwenye taarifa nyeti kama hizi Pdidy una mwandiko mzuuuri hadi raha!
BTW thanks kwa kujali afya za watu!
 
Hahaaa mpwa kisima siunajua tunaokoa NA pesa za insuarance wengine wakfa tunalipa mamilion
 
Hahaaa mpwa kisima siunajua tunaokoa NA pesa za insuarance wengine wakfa tunalipa mamilion
Ni kweli kabisa mkuu na mbaya zaidi ajari hizi huacha simanzi kuu kwa wategemezi achilia mbali kupoteza viungo na kuishia kuwa mlemavu kwa wahanga!
Mungu aepushie mbali mabalaa haya make mwaka jana tumepoteza wapendwa wengi sana kupitia ajari za barabarani!
 
Back
Top Bottom