Mnaopinga lockdown kuna vitu mfikirie kwa mapana

Njaa haiambukizi. Ukifa kwa njaa unakufa wewe tu. Ukifa kwa Corona unaacha umeambukiza wengine wengi na Corona yako kama familia yako, wauguzi, wasafiri wenzio n.k.
Lockdown ya hot spots kama Dar na Zenj ndio njia sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nyie mashoga mkikaa lockdown si inatosha


Sent using IPhone X
 
Nyie mashoga mkikaa lockdown si inatosha


Sent using IPhone X
unaweza kukuta una shida ya ubongo vingine ni kusamehe tu unaweza kukuta baba yako ni shoga sasa msongo wa mawazo una kutesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…