ndio sababu tunawaita wanga,yaani kumbe umekaa unasubiri maambukizi na vifo viongezeke kwa namna isiyovumilika ili tu tufungiwe.useme"NILISEMAAA"ONA SASA KIKO WAPII!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Uvumilie na nani kama ww fridge limejaa usiseme tuvumilie lakin pia hata ww na familia yako mnaweza kujiweka lockdownKuna watu wanapinga lockdown bila kuwaza kwa mapana na marefu wengine hili jambo wanalichukulia la kisiasa badala ya kutazama athari kwa nchi na maisha ya wanyonge.
Hapa vijana wengi wanakuja na hoja mfu kwamba tutakufa kwa njaa wakati wanajisahau wanazunguka kila kona kusaka hizo hela ambazo zinapelekea kulieneza hili gonjwa anbapo sasa yawezekana mtaa, kijiji,wilaya au mkoa utokao waweza kukumbwa na maambukizi mengi kupitia wewe kisha shughuli nyingi zitakwama wote mkawa wagonjwa mkajipiga lockdown ya ugonjwa bila kujijua na kupelekea vifo jambo ambalo ni hasara kwa nchi maana pesa wanazo kusanya kipindi hiki zikatumika ktk kuwakimbiza nyie wabishi mahospital.
Nafikir tuvumilie kidogo kuliko kuendelea kuusambaza huu ugonjwa serikali iamue sasa ktk hili hambo ##LOCKDOWN haikwepeki
Kungekuwa na mantiki ya kuacha wazi bila lockdown kama kungekuwa na upungufu wa maambukizi sasa yanazidi kupanda hapa tunafanya nini?
Hata hizo pesa zinazokusanywa sasa hivi zitaishia kwenye mafuta na kuhudumia wagonjwa ambapo mambo mengine bado yatasimama tu.
Vijana tuokoe watoto wazee ndugu na jamaa na sisi wenyewe tuache ubishi.
Uvumilie na nani kama ww fridge limejaa usiseme tuvumilie lakin pia hata ww na familia yako mnaweza kujiweka lockdown
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikumiss ujue kipenzi!!Lockdown imekuficha, thank goodness upo poa!!
Subirini mlango utajifunga wenyewe kwa lazima, ndio nchi za Africa zinavyokwenda.Kuna watu wanapinga lockdown bila kuwaza kwa mapana na marefu wengine hili jambo wanalichukulia la kisiasa badala ya kutazama athari kwa nchi na maisha ya wanyonge.
Hapa vijana wengi wanakuja na hoja mfu kwamba tutakufa kwa njaa wakati wanajisahau wanazunguka kila kona kusaka hizo hela ambazo zinapelekea kulieneza hili gonjwa anbapo sasa yawezekana mtaa, kijiji,wilaya au mkoa utokao waweza kukumbwa na maambukizi mengi kupitia wewe kisha shughuli nyingi zitakwama wote mkawa wagonjwa mkajipiga lockdown ya ugonjwa bila kujijua na kupelekea vifo jambo ambalo ni hasara kwa nchi maana pesa wanazo kusanya kipindi hiki zikatumika ktk kuwakimbiza nyie wabishi mahospital.
Nafikir tuvumilie kidogo kuliko kuendelea kuusambaza huu ugonjwa serikali iamue sasa ktk hili hambo ##LOCKDOWN haikwepeki
Kungekuwa na mantiki ya kuacha wazi bila lockdown kama kungekuwa na upungufu wa maambukizi sasa yanazidi kupanda hapa tunafanya nini?
Hata hizo pesa zinazokusanywa sasa hivi zitaishia kwenye mafuta na kuhudumia wagonjwa ambapo mambo mengine bado yatasimama tu.
Vijana tuokoe watoto wazee ndugu na jamaa na sisi wenyewe tuache ubishi.
Niambie tu ulikuwa wapi hadi kunitenga hivyo, japo niliogopa kukitafuta..Nilikumiss ujue kipenzi!!
Mambo tuu hayakuwa poa, namshukuru Mungu hujambo!
Wewe ni wa kuogopa kunitafuta kweeeliii! Upendo wako kwangu uko wapieti jamani kaka yangu kipenzi!!Niambie tu ulikuwa wapi hadi kunitenga hivyo, japo niliogopa kukitafuta..
Nani kakukataza kujifungia?Kuna watu wanapinga lockdown bila kuwaza kwa mapana na marefu wengine hili jambo wanalichukulia la kisiasa badala ya kutazama athari kwa nchi na maisha ya wanyonge.
Hapa vijana wengi wanakuja na hoja mfu kwamba tutakufa kwa njaa wakati wanajisahau wanazunguka kila kona kusaka hizo hela ambazo zinapelekea kulieneza hili gonjwa anbapo sasa yawezekana mtaa, kijiji,wilaya au mkoa utokao waweza kukumbwa na maambukizi mengi kupitia wewe kisha shughuli nyingi zitakwama wote mkawa wagonjwa mkajipiga lockdown ya ugonjwa bila kujijua na kupelekea vifo jambo ambalo ni hasara kwa nchi maana pesa wanazo kusanya kipindi hiki zikatumika ktk kuwakimbiza nyie wabishi mahospital.
Nafikir tuvumilie kidogo kuliko kuendelea kuusambaza huu ugonjwa serikali iamue sasa ktk hili hambo ##LOCKDOWN haikwepeki
Kungekuwa na mantiki ya kuacha wazi bila lockdown kama kungekuwa na upungufu wa maambukizi sasa yanazidi kupanda hapa tunafanya nini?
Hata hizo pesa zinazokusanywa sasa hivi zitaishia kwenye mafuta na kuhudumia wagonjwa ambapo mambo mengine bado yatasimama tu.
Vijana tuokoe watoto wazee ndugu na jamaa na sisi wenyewe tuache ubishi.
Yanatusumbua kweli hata huku kwenye magroup ya Whatsapp... Lockdauni Lockdauni lockdauuuni... Kwani mtu unalazimishwa kutoka nje, jifungie tu kama unataka... Usikute wanaomba hata vifo viongezeke fasta wapate hio lockdown yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu zamani jiwe wenu aliwadanganya kuwa Tz ni matajiri na kama mko matajiri kwanini mnaogopa lockdown? ?Nyie chadema kaeni lockdown
Sisi Watanzania tuliowengi tunakusikiliza maneno ya Rais wetu Magufuli
Tunachapa kazi
Ila ikifika mavuno msianze kusema serkali iwagawie chakula
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nyinyi lumumba mnamatatzo gan???
Wow! Kumbe una imani kubwa kiasi hicho kipenzi changu?Wewe ni wa kuogopa kunitafuta kweeeliii! Upendo wako kwangu uko wapieti jamani kaka yangu kipenzi!!
Nilikuwa kwenye mfungo wa kwaresma!
Ndio jamani kaka yangu kipenzi!Wow! Kumbe una imani kubwa kiasi hicho kipenzi changu?
Weka familia yako na ukoo wako wengine tutajifia ndan kwa sababu ya njaa wenye uwezo wa kujiwekea lockdown weken katika familia zenuKuna watu wanapinga lockdown bila kuwaza kwa mapana na marefu wengine hili jambo wanalichukulia la kisiasa badala ya kutazama athari kwa nchi na maisha ya wanyonge.
Hapa vijana wengi wanakuja na hoja mfu kwamba tutakufa kwa njaa wakati wanajisahau wanazunguka kila kona kusaka hizo hela ambazo zinapelekea kulieneza hili gonjwa anbapo sasa yawezekana mtaa, kijiji,wilaya au mkoa utokao waweza kukumbwa na maambukizi mengi kupitia wewe kisha shughuli nyingi zitakwama wote mkawa wagonjwa mkajipiga lockdown ya ugonjwa bila kujijua na kupelekea vifo jambo ambalo ni hasara kwa nchi maana pesa wanazo kusanya kipindi hiki zikatumika ktk kuwakimbiza nyie wabishi mahospital.
Nafikir tuvumilie kidogo kuliko kuendelea kuusambaza huu ugonjwa serikali iamue sasa ktk hili hambo ##LOCKDOWN haikwepeki
Kungekuwa na mantiki ya kuacha wazi bila lockdown kama kungekuwa na upungufu wa maambukizi sasa yanazidi kupanda hapa tunafanya nini?
Hata hizo pesa zinazokusanywa sasa hivi zitaishia kwenye mafuta na kuhudumia wagonjwa ambapo mambo mengine bado yatasimama tu.
Vijana tuokoe watoto wazee ndugu na jamaa na sisi wenyewe tuache ubishi.
punguza povuMkuu mwanga ni wewe.
Akili yako haiwezi kuwa inafanya kazi vizuri kudhani janga hili litaondoka lenyewe.
Umeona kuna siku hali imekuwa nafuu tangu ugonjwa uingie?
Takwimu zinaonyesha kwa ujinga wetu ikiwamo kuendekeza maombi (mods wamefuta uzi wangu kuhusiana na issue ya maombezi) badala ya kupambana, hali ya ugonjwa itakuwa mbaya zaidi.
Pana wana maombi waliwahi fika JKNIA kusafiri kwa ndege bila ticket wala viza kwenda USA miaka ya nyuma. Kwao biblia tu ndiyo ilikuwa inatosha. Sote kama taifa tuliwaona kama majuha na kipigo cha polisi walikipata.
Tofauti yao na sisi leo tuliomo katika hizi ibada za siku 3 pasipo na kufanya la maana, ni nini?
Ukweli mchungu namba zitapungua kwa kuchukua hatua stahiki tu, katu si kwa maombi yanayopelekea maambukizi mengine kwenye hiyo mikusanyiko.
Hatua stahiki hamzitaki mnategemea nini?
Kwa vile wanga nyie hamtaki ugonjwa huu kudhibitiwa subirini lichanganye, Ila msiyasahau maneno yenu litakapokuwa limekolea.
Ni hivyo tu - as plain as clear.
Waweza kujiridhisha hapo chini mwanga ni nani:
View attachment 1421809
punguza povu
wewe na wamarekani nani mjinga kumzidi mwenzie,nani ana uwezo mzuri wa kupambana na huu ugonjwa kumzidi mwenzie???
unataka ujivishe crown ya umwamba hapa kwamba ulitumia akili zaidi ya wachina au unataka kufanya kitu gani??america,china,italy,iran wametumia kila mbinu wameangukia pua,labda utuambie wewe mbinu gani mpya unaweza kuja nayo ikasaidia au ndio wale wale,lawama zimwendee mwenyekiti chama tawala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu ya lockdown ni ngumu sana kwa hali ya nchi yetu ni bora tu kufuata taratibu za kujikinga nalo tu hamna namna,,wakipiga lockdown nani wa kutulisha??
Sent using Jamii Forums mobile app