Yeye tayari amejiloku dauni bado wewewewe unaandika hii thread upo/ukiwa wapi?
Siwezi wekwa kwenye mfuko wa plastiki na napiga kazi na tahadhari pia nazingatia.hao wataalamu wa afya hasa mawazir kutibiwa kwao ni chaguo la kwanza ila ww sasa utawekwa kwenye mfuko wa plastik piga mishe mzee baba unafikir Usa,Italy na Spain mkuu hamna wataalamu wa afya?
Italy na bongo ni tofauti.tazama italy ugonjwa ulianza kuingia muda gani na kuanza kuleta athari za kuuwa watu kwa mamia.waitalia walikuwa watata kama ww saiv wapo kimya maana zile sehem walizokuwa wakienda kupata huduma jamaa zao wamekufa
Mwezi mmoja uliopita (siku kama ya leo mwezi jana) athari za hili janga zilikuwa zinalinganishwa na vita kuu ya pili ya dunia, Mwezi mmoja baadae wanasema huenda athari zake zinapita za WW2 ikiwa na maana kuwa katika watu wote tunaoishi sasa hakuna hata mmoja aliwahi kufanya hata simulation ya ni kipi kingekuwa hivi.we unaongea tu au unaandika tu?! hivi unajua kuna watu wanahitajika daily
afanye biashara asifanye,atoke home asitoke,aumwe asiumwe,afiwe asifiwe
kwa siku anatakiwa a save 50,000,hiii 50k si ya chakula wala mavazi ni hela
ya uwepo wake mjini Kodi za nyumba/frem/nk hivi umwambie huyu mtu akae ndani
hiyo 50k ataitoa wapi? unafikiri wenye nyumba wanaelewa cha lockdown au lockup?
Tarehe ya kodi ikifika wanataka chao Kama huna achia frem,achia nyumba hiyo,THINK.
Yanatusumbua kweli hata huku kwenye magroup ya Whatsapp... Lockdauni Lockdauni lockdauuuni... Kwani mtu unalazimishwa kutoka nje, jifungie tu kama unataka... Usikute wanaomba hata vifo viongezeke fasta wapate hio lockdown yaoNyie chadema kaeni lockdown
Sisi Watanzania tuliowengi tunakusikiliza maneno ya Rais wetu Magufuli
Tunachapa kazi
Ila ikifika mavuno msianze kusema serkali iwagawie chakula
Sent using Jamii Forums mobile app
hauwezi ukawa unajali wengine zaidi ya kujijali wewe zaidi.Mwezi mmoja uliopita (siku kama ya leo mwezi jana) athari za hili janga zilikuwa zinalinganishwa na vita kuu ya pili ya dunia, Mwezi mmoja baadae wanasema huenda athari zake zinapita za WW2 ikiwa na maana kuwa katika watu wote tunaoishi sasa hakuna hata mmoja aliwahi kufanya hata simulation ya ni kipi kingekuwa hivi.
Miaka 100 iliyopita hakukuwa na hivyo vya sijui 50K au wenye nyumba, waliojaribu kuwaza kama wewe ni kama Italy na kawaulize! Trump mwenyewe alidhani pesa na kiburi vingemaliza hili tatizo lakini unamuona.
Hebu waza kama hii ni dunia mpya tayari na ndio maana wanakwambia baada ya corona dunia tayari ni nyingine sio ile tulioizoea.
Kwa hiyo hii mizaa yetu na kukosa maarifa itatufanya hata tusiione "hiyo dunia mpya" japo umri unaturuhusu
Siwezi wekwa kwenye mfuko wa plastiki na napiga kazi na tahadhari pia nazingatia.
Hizo nchi ulizotaja wapo lock down na bado wana hali mbaya zaidi ya jana kila uchwao.
Ugonjwa hapa tz una zaidi ya miezi 4 ila haujaleta madhara makubwa kama nchi ulizozitaja kikubwa bado tahadhari ni muhimu na tutatoboa bila lock down.
Kaa lock down mwenyewe hatuhitaji huruma yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
mwamba kuna watu miezi kadhaa nyuma walishapata ugonjwa wenye dalili zote za covid 19.mm ni mmoja wapoUgonjwa gani mkuu wenye zaidi ya miezi 4 Tanzania?
Isije kuwa unachanganya dengue na Corona?
Eliza kote, Corona baba lao.
mwamba kuna watu miezi kadhaa nyuma walishapata ugonjwa wenye dalili zote za covid 19.mm ni mmoja wapo
Sent using Jamii Forums mobile app
hauwezi ukawa unajali wengine zaidi ya kujijali wewe zaidi.
hivi mnadhani ni kwanini mawazo yenu yanaonekana yana mlengo wa kisiasa!!!sababu ni kama hivi,kwa sasa sifahamu unaandika ukiwa wapi ila najua kabisa upo na jamaa zako hapo mnapiga soga,kabla jua kuzama ukalale kesho uamkie kutafuta riziki.kwanini usilale tu,tena wakati huu hakuna wa kukuuliza kwanini umelala!!!au unadhani boss wako atamudu kukulipa ukiwa huingizi kitu kwenye kampuni yenu!!!!never bro.wengi wenu mnawaza kulala mlipwe kama marekani,mmesahahu hapa ni mpg country sio 4K country mazee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbn marekani Kuna lockdown wanakuf watu 4000 per day? Usituchagulie Aina ya kifoKuna watu wanapinga lockdown bila kuwaza kwa mapana na marefu wengine hili jambo wanalichukulia la kisiasa badala ya kutazama athari kwa nchi na maisha ya wanyonge.
Hapa vijana wengi wanakuja na hoja mfu kwamba tutakufa kwa njaa wakati wanajisahau wanazunguka kila kona kusaka hizo hela ambazo zinapelekea kulieneza hili gonjwa anbapo sasa yawezekana mtaa, kijiji,wilaya au mkoa utokao waweza kukumbwa na maambukizi mengi kupitia wewe kisha shughuli nyingi zitakwama wote mkawa wagonjwa mkajipiga lockdown ya ugonjwa bila kujijua na kupelekea vifo jambo ambalo ni hasara kwa nchi maana pesa wanazo kusanya kipindi hiki zikatumika ktk kuwakimbiza nyie wabishi mahospital.
Nafikir tuvumilie kidogo kuliko kuendelea kuusambaza huu ugonjwa serikali iamue sasa ktk hili hambo ##LOCKDOWN haikwepeki
Kungekuwa na mantiki ya kuacha wazi bila lockdown kama kungekuwa na upungufu wa maambukizi sasa yanazidi kupanda hapa tunafanya nini?
Hata hizo pesa zinazokusanywa sasa hivi zitaishia kwenye mafuta na kuhudumia wagonjwa ambapo mambo mengine bado yatasimama tu.
Vijana tuokoe watoto wazee ndugu na jamaa na sisi wenyewe tuache ubishi.
Ukisema hivyo utaambiwa ni kwa sababu walichelewa kufanya lockdown kwmba Trump alifanya uzembe,ila cha kushangaza huko ulaya watu wanakufa tu hata nchi ambazo hazitajwi kuwa zilchelewa au kufanya uzembe kama Marekan Italy na Spain.Mbn marekani Kuna lockdown wanakuf watu 4000 per day? Usituchagulie Aina ya kifo
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio sababu tunawaita wanga,yaani kumbe umekaa unasubiri maambukizi na vifo viongezeke kwa namna isiyovumilika ili tu tufungiwe.useme"NILISEMAAA"ONA SASA KIKO WAPII!!!Mkuu subiri lichanganye unadhani namba hudanganya?
Weka tu kumbukumbu ya nini uliwahi kuandika.
Hii speed si ya kitoto, acha bangeNyie chadema kaeni lockdown
Sisi Watanzania tuliowengi tunakusikiliza maneno ya Rais wetu Magufuli
Tunachapa kazi
Ila ikifika mavuno msianze kusema serkali iwagawie chakula
Sent using Jamii Forums mobile app
waelevu mabeberu walitutabiria ikifika mwezi april waafrica tutakufa maelfu kwa covid 19.Haha ha
haa haaa, mkuu hao tunakutana nao sana kitaa.
Ila ukweli mchungu inaweza kuwa dunia nzima tunaongoza - kwa ujinga lakini.
Lockdown imekuficha, thank goodness upo poa!!Kuna muda utafika, kila mtu atajikuta yupo lockdown bila hata kuambiwa! Ni suala la muda tuu