GE2025 Mnaopanga kumpa Paul Makonda Uwaziri Sijui Uwaziri Mkuu, Kumbukeni alishapigwa marufuku Kukanyaga Marekan, Ulaya !!.

GE2025 Mnaopanga kumpa Paul Makonda Uwaziri Sijui Uwaziri Mkuu, Kumbukeni alishapigwa marufuku Kukanyaga Marekan, Ulaya !!.

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Mtachagua wenyewe sasa!!

Muwe na Waziri Mkuu ambaye hatoweza kuhudhuria Mikutano ya Umoja wa Mataifa katika Ardhi ya US.

Mtu ambaye hata Ulaya hakanyagi !!.
 
ila makonda kuwa mbunge ni kutufanya watanganyika wajinga sana! hata kama amewanufaisha wakubwa kwa siasa chafu hakutakiwa kuwa karibu kabisa na maisha yetu tena! mmetukosea sana
 
serikalini ya matapeli, mwisho wao unakuja soon.
Makonda sijui atakimbilia wapi, kazi anayo
 
Mtachagua wenyewe sasa!!

Muwe na Waziri Mkuu ambaye hatoweza kuhudhuria Mikutano ya Umoja wa Mataifa katika Ardhi ya US.

Mtu ambaye hata Ulaya hakanyagi !!.

Hii ni laana kubwa. Yaani nchi inaongozwa na mashetani wanaoua wanadamu wenzao.
Bashite haruhusiwi kukanyaga ardhi ya Marekani kwa sababu ni muuaji.

Muda siyo mrefu kwenye orodha hiyo ya wauaji waliozuiliwa kukanyaga Marekani, itaongezeka sana kwani awamu hii imevunja record ya ushetani wa kuteka na kuua wanadamu.
 
Mtachagua wenyewe sasa!!

Muwe na Waziri Mkuu ambaye hatoweza kuhudhuria Mikutano ya Umoja wa Mataifa katika Ardhi ya US.

Mtu ambaye hata Ulaya hakanyagi !!.
FB_IMG_1753210729151.jpg
 
Makonda hawezi kua waziri mkuu labda waziri wa Mambo ya ndani napo kama atakatiza almashauri kuu sijui ndo kamati kuu huwezo kukatisha pia mdogo sana Gambo anaweza kushangaza watu
 
Mtachagua wenyewe sasa!!

Muwe na Waziri Mkuu ambaye hatoweza kuhudhuria Mikutano ya Umoja wa Mataifa katika Ardhi ya US.

Mtu ambaye hata Ulaya hakanyagi !!.
Wapi imeandikwa Waziri au Waziri Mkuu wa Tanzania LAZIMA aende Ulaya na Marekani? Au ushamba wenu ndio unawaelekeza hivyo?
 
Mtachagua wenyewe sasa!!

Muwe na Waziri Mkuu ambaye hatoweza kuhudhuria Mikutano ya Umoja wa Mataifa katika Ardhi ya US.

Mtu ambaye hata Ulaya hakanyagi !!.
Makonda pm si tutakua vichekesho? U RC tu kavimba nao sana, u PM Je?
 
Mtachagua wenyewe sasa!!

Muwe na Waziri Mkuu ambaye hatoweza kuhudhuria Mikutano ya Umoja wa Mataifa katika Ardhi ya US.

Mtu ambaye hata Ulaya hakanyagi !!.
haina maana yoyote ataenda naibu waziri mkuu kwa niaba 🐒
 
Mtachagua wenyewe sasa!!

Muwe na Waziri Mkuu ambaye hatoweza kuhudhuria Mikutano ya Umoja wa Mataifa katika Ardhi ya US.

Mtu ambaye hata Ulaya hakanyagi !!.
PM hajawahi kuwa a person of flare

Sijui why chakandumuz mko this shallow

Makonda will never be in the position mnayohangaika nayo
 
Makonda atakuwa mfungwa wa maisha endapo no reforms no election itakamilika.
 
Mtachagua wenyewe sasa!!

Muwe na Waziri Mkuu ambaye hatoweza kuhudhuria Mikutano ya Umoja wa Mataifa katika Ardhi ya US.

Mtu ambaye hata Ulaya hakanyagi !!.
Marekani na Ulaya sio mbinguni. Mama Samia ikimpendeza uwaziri mkuu ampe hata Josephat Gwajima kama atagombea na kushinda.

Maendeleo hayana chama.
 
Back
Top Bottom