Mnaonaje tukibadilisha............?

Mwanzoni nilikuwa najiuliza kwanini asilimia kubwa ya Mabibi harusi huvaa gauni jeupe na si vinginevyo?katika kutaka kujua hilo;nikawauliza baadhi ya watu na majibu yao yalifanana,walisema hivi;NGUO NYEUPE HUMMANISHA KWAMBA BI HARUSI BADO NI MSAFI/HANA DOA NABADO ANAO USICHANA WAKE (BIKIRA) AMBAYO NI ZAWADI KWA BWANA".Sasa hali ilivyo siku hizi watu hufunga ndoa wakishakuwa wamechakachuana na usichana unakuwa umeondoka,tena wengine hufunga ndoa wakati tayari wakiwa na watoo au wajawazito.Je kuna maana yeyote ya kuendelea kutumia gauni jeupe kwa tafsiri hiyo hapo juu?

Kwani nani kasema ni lazima kutumia gauni jeupe?
 
Hii ya CHIT-CHAT
 
Nimewahi kusimuliwa kuwa kuna kabila fulani kwamba wenyewe ilikuwa siku ya harusi kama kawaida bibi harusi anapiga white gauni then baada ya kufungishwa ndoa;wanandoa hutakiwa kuuthibitishia umma kuwa binti ni mweupe kweli,basi hapo binti atakabidhiwa kitambaa cheupe mkononi na kuingia faragha na mume huku nyuma ndugu,jamaa,marafiki na wageni wengine wakisubiri kwa hamu matokeo.Basi wanandoa hao hufanya mapenzi na ikitokea binti akawa bikira kweli na kutolewa siku hiyo;basi atatumia kile kitambaa cheupe kujifuta zile damu na kukionyesha kwa waty waliokuwa wakisubiria,baada ya hapo sherehe huwa kubwa sana,Wazazi hupongezwa sana kwa kumtunza mwali na muda mwinginefamilia ya bwana hutoa ng'ombe wengi sana kama shukrni kumtunza bibi.

kama jamaa si mtinduaji mzuri damu itatoka kweli hapo
 
dah kweli hapo kwenye bold ,ila ujue nn you men i will never live to understand you at what particular time you have a lying toungue , its not that you cheat on us but its like this we give you much trust which you didn't deserve ikiwemo nanhii K mnatumega afu mnasepa ,
Mi sipo kama hao nina matunzo mazuri especial nikipatiwa K safi huwa sina haja ya kwenda kuzurura huku na huko muulize nanihiiiiiii...................
 
Mi sipo kama hao nina matunzo mazuri especial nikipatiwa K safi huwa sina haja ya kwenda kuzurura huku na huko muulize nanihiiiiiii...................

Billie asa kama umefall na unataka K safi bac uiweke legally before the public yani mambo flani ya marriage certificate ukishamwoa si ndoo umemuwekea password ama , asa nyie men unamuwekea mtu password afu tena una log in kwa user mwingine sijui waga ni tamaa ama ndo kutaste bucha ipi inalipa dah yani
 
Najua nakapanya unamaanisha ile damu inayotoka siku akifanya hilo tendo kwa mara ya kwanza.Lakini kuna wengine zinatoka bila wao kujua kutokana na mazoezi makali au shughuli ngumu,sasa dada kama huyo tumweke kwenye kundi gani maana hajawahi kufanya tendo hilo kwenye maisha yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom