Habari zenu wadau, nataka niagize mzigo huo naombeni maoni yenu kama nitaingia chaka au nitakuwa nimepata simu ya uhakika. Na kama kuna ambaye amewahi kutumia series ya moto g Motorola naomba unipe uzoefu wako juu ya hizo simu tafadhali hasa katika ubora wake, Asante.