Mnaonaje Jamani Hali Hii Ikidumishwa???

Mnaonaje Jamani Hali Hii Ikidumishwa???

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
284943_248036665214754_100000252665942_1005533_2525050_n.jpg
Nahisi taratibu tunaweza na sisi kujinasua kwenye lindi la umasikini, sijui nyie wenzangu
 
by the way, huyu King Kinya naye ni moja ya hazina tulizonazo watz. Ni genius wa ukweli aisee.
he has made my day
 
Nafikiri ni yule waziri mwenye kipara flani hivi ,yule waliyemshikia bango kuwa ni mlilongwe flani hivi, anaitwaa,anaitwa, nani, nanii---aaagh . nimesahau jina lake
 
Upepo ukija, utazimika, teteteee ............
 
2010 tuliwapunguza ccm si zaidi ya 10% hali imekuwa hivi sasa 2015 tutakapo wapunguza kwa 99% itakuwa je? Tafakari na chukua hatua
 
Back
Top Bottom