Mnaonaje hii picha.

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
Mzee anataka kumsalimia mzungu lakini naona mzungu hana mpango.
 

Attachments

  • BL.jpg
    45.4 KB · Views: 1,218
Nzi kufia kwenye Kidonda.... lazima tugawane naye huyo mwenye mali maana hawezi kufaidi peke yake.

Hizo Hips zinaashiria moja tu, nyuma kumejaa NEEMA za Shehe wetu kiongozi Mpenda Mizigo mizito....

Mhhh, kenye RED, kamekoaa hadi Wapare wanasema KATHEE...


Mke wa mtu huyo mkuu....
 
Tatizo ni upigaji wa Picha kama ilikuwa ni tukio la kupeana mkono mpiga picha amelikosa, amepiga kabla halijakamilika. Pia kama ilikuwa wanakaribishana kwenye hiyo meza ili wachukue, au mmoja aanze kuchukua kilichopo, pia mpiga picha amelikosa tukio hilo, maana hapo kuna meza na imesheheni "vyakula", maji pia yakiwepo, hawawezi kutoka meza kuu waje kusalimiana hapo chini !!! Ni maoni yangu plse.
 
Ni wa pale ofisn kwetu njoo utamuona hajaolewa ila ana date na muhnd mmoja hv
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…