Sio kwamba ni mzuri sema kuna vitu anavyo anashawishi sanaπMkuu Kuna wanaomuelewa kimuziki tupo tunaomuelewa kwa kumtaka kimahaba,kimapenzi,kumlamla,kumfidodido..π
Toto yuko vizuri na anafaa kwa matumizi..π
Zuchu Kule Kwa Wazirankende Wanamuita Chuchu ππ
Heeeh nikajua nipo peke angu, nisie muelewa huyu kidampa lol.
Yaan ktk wasanii waliofail mapema ni huyu, afu eti wanamfananisha na jay dee, vee money khaaaah, hovyoooooh.