JK amesema Mama ndie Mgombea pekee wa CCM labda hali iwe mbaya sana! Je kwa sasa kuna hali mbaya? Hali mbaya aliyomaanisha JK ni ipi? Nani ataipima hiyo Hali mbaya? Je ni Jk mwenyewe?
Kwa mfano hali imekuwa mbaya watamzuiaje Mama ambaye tayari ni Mwenyekiti wa Chama na Amir jeshi Mkuu asigombee!? Au watamfanyia kama Mugabe? Au kama nanihii?
Tunaompenda Mama tuombe Hali isiwe mbaya. Mama anza kutafuta tafsiri ya Hali kuwa mbaya maana yake nini? Nani atakupima kiasi cha kuamua kwamba ugombee au usigombee?