Mnaompenda Rais Samia muombe hali isiwe mbaya sana

Mnaompenda Rais Samia muombe hali isiwe mbaya sana

Tangia awamu ya sita imeanza hakuna jema kwa kweli lililofanyika.

Ni Mungu tu ndio anatulinda.

Ila mafisadi ndio wanao neemeka sisi wananchi wa kawaida tunaipata fresh.
Wewe mwongo kweli kweli, sisi kijani kitupu mbona tunapeta kuliko nyie huko!!!!! 😭 Kwanza mgao wa TAA ni kwenu tuuu, mambo ya tozo sijui kimepanda nini, ni huko huko. Kwetu mwiko!! Ukipenda unakaribishwa na wewe😀😀😀😀😀😀😀
 
Aisee shetani jiwe ameacha mayai yake ndio yanatotolewa yani hakuna jema? Watumishi wamepandishwa madaraja jiwe akipiga pini madarasa yanajengwa vituo vya afya miradi aliyoiacha zimwi inaendelea mama kaongeza mishahara japo kidogo ila siokama yule mwehu wenu aliongeza af tatu. Mama kafanya mengi sana !
Akili huna wewe, mjadala ni jk na huyo failure wenu wewe unaweweseka na kaburi.
 
Aisee shetani jiwe ameacha mayai yake ndio yanatotolewa yani hakuna jema? Watumishi wamepandishwa madaraja jiwe akipiga pini madarasa yanajengwa vituo vya afya miradi aliyoiacha zimwi inaendelea mama kaongeza mishahara japo kidogo ila siokama yule mwehu wenu aliongeza af tatu. Mama kafanya mengi sana !
Hivi kwajiwe kurikuwepo Tozo?
 
Ji
Aisee shetani jiwe ameacha mayai yake ndio yanatotolewa yani hakuna jema? Watumishi wamepandishwa madaraja jiwe akipiga pini madarasa yanajengwa vituo vya afya miradi aliyoiacha zimwi inaendelea mama kaongeza mishahara japo kidogo ila siokama yule mwehu wenu aliongeza af tatu. Mama kafanya mengi sana
Jiwe alikuachia mimba changa sasa unahangaika na mtoto bila baba?

Mfuate huko kabulini umkabidhi mtoto wake kama kakushinda.
Taifa Lina haki mbaya na watu wanajadili Nini kifanyike tuondokane na hili wewe unaleta Mambo ya jiwe hapa, kwani yupo madarakani?

Ufisadi na matozo yanakusanya pesa mtaani kila siku na hazirudi zinaishia midomoni mwa hao chawa nyie bado manaleta Mambo ya jiwe hapa?

Saidieni huyo mama ili nchi ipone.

Uingereza yule mama aliingia siku alobaini tu baada ya Borris Mambo yakawa mabaya wakamtoa sisi tuaendelea kuongea Mambo ya jiwe badala ya kumwambia ukweli hali ni mbaya ili ajilekebishe.
 
Watanzania tupunguze chuki

Haitusaidii, our enemies ni ujinga , maradhi na umasikini…. Not mimi, wewe, magu, samia or ukawa

Let’s be civil and fight the common enemy
 
Sema Yale matokeo ya NEC zile top 10 vipi wakuu mana naona kama wataparuana hawa [emoji23][emoji23]
 
JK amesema Mama ndie Mgombea pekee wa CCM labda hali iwe mbaya sana! Je kwa sasa kuna hali mbaya? Hali mbaya aliyomaanisha JK ni ipi? Nani ataipima hiyo Hali mbaya? Je ni Jk mwenyewe?

Kwa mfano hali imekuwa mbaya watamzuiaje Mama ambaye tayari ni Mwenyekiti wa Chama na Amir jeshi Mkuu asigombee!? Au watamfanyia kama Mugabe? Au kama nanihii?

Tunaompenda Mama tuombe Hali isiwe mbaya. Mama anza kutafuta tafsiri ya Hali kuwa mbaya maana yake nini? Nani atakupima kiasi cha kuamua kwamba ugombee au usigombee?
Ndiyo sisi hapa

1671452565974.png
 
Watanzania tupunguze chuki

Haitusaidii, our enemies ni ujinga , maradhi na umasikini…. Not mimi, wewe, magu, samia or ukawa

Let’s be civil and fight the common enemy
Our big Enemy is bad leadership.Good leadership is answer to poverty and so on.
 
Back
Top Bottom