Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,101
Aisee! Mnaoishi na wanawake mnawezaje! Hapa nimeishi na mwanamke miezi minne lakini naona kama miaka 9, hapa nilipo nina mood yakusafiri pasipojulikana narudi after 2years, hana fujo zozote ila nahisi kuchoka tu.


