agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,412
Ukiona kwa mihemko lazima yakukute
wanawake maamuzi yenu huwa ni kiboko.. halaf wala hamuogopi mnafanya na mnatulia tu kulaleki...!!!Mungu aniepushe na dhambi hii ya kumbambikia mtu mtoto. Nahisi nafsi inaweza kunisuta mpaka siku naingia kaburini. Sijui wanawake wengine wanapataje ujasiri huo.
Upo kumbe EveTulia mzee kitanda hakizai haramu, ilmradi anakuita baba basi furahi
nipo mambo...Upo kumbe Eve
Hee,hata mama ako?Mwanamke ni shetani namba mbili duniani,
Awezaye fanya lolote litakalokuwa na manufaa kwake,ata kutoa uhai wa mtu.