Old Granny
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 392
- 555
Muwe na huruma jamani hiyo hutokea bahati mbaya tu
sometimes inakuwa hujui mimba n ya nan.
sometimes inakuwa hujui mimba n ya nan.
sometimes inakuwa hujui mimba n ya nan.Asante kwa kunikumbusha hilo. Hakika hakuna dhambi kubwa wala ndogoMwambie Mungu akuepushe na dhambi ya kila namna na wewe!
Shetani namba moja ni mama ako aliekuzaa. Tuanzie hapoMwanamke ni shetani namba mbili duniani,
Awezaye fanya lolote litakalokuwa na manufaa kwake,ata kutoa uhai wa mtu.
BabyYamekukuta
AbeeBaby
Miss your magic voiceAbee

Ahsante..wewe si wapenda nikatili banaMiss your magic voice![]()
Nitaanzaje kukutali wakat sipendi ukonde?Ahsante..wewe si wapenda nikatili bana
Nitaanzaje kukutali wakat sipendi ukonde?

wataka nipasuke eehHuwa unalala wewe?Mungu aniepushe na dhambi hii ya kumbambikia mtu mtoto. Nahisi nafsi inaweza kunisuta mpaka siku naingia kaburini. Sijui wanawake wengine wanapataje ujasiri huo.
1-3Hakuna dhambi isiyotoa nafasi ya kutafakari. Kusingizia mimba inakuwa tukio dogo sana maana lilianzia kwenye usaliti, uzinzi, mimba ndo tunakuja kusingizia.
Anyway, ts good hutamani kufika huko. Naamini unajua jinsi ya kutokufika huko. saludos!
Mi mlinzi, nitalalaje?Huwa unalala wewe?

Njoo unilinde.Mi mlinzi, nitalalaje?![]()
Utanilipa sh.ngapi kwa mwezi? Maana huku ninapolinda nalipwa sh.100,000/=Njoo unilinde.
Ongeza 0 moja mbele.Utanilipa sh.ngapi kwa mwezi? Maana huku ninapolinda nalipwa sh.100,000/=
Huh! Nipe nkataba wangu kabisa ili nije kuanza kibarua changu leoOngeza 0 moja mbele.
Deal.Huh! Nipe nkataba wangu kabisa ili nije kuanza kibarua changu leo