omereyo
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 308
- 91
Daah aisee wadada zetu wengine wamekubuhu.unakuta mdada ana mabwana hawajuani.mmoja mkoa mwingine anapoishi.sasa basi mmojawapo anaingia kwenye kingi (anampa ujauzito)lakini anakuwa hapendwi kwakuwa haelewekieleweki.
Sasa lile jamaa linaloonyesha walau linaeleweka kwa macho ya nyama ya huyo mdada linabebeshwa mzigo kwakuwa wanafanyaga kavu.
Uuwwii ama kweli ndoa nyingi sasahivi watoto ni wa baba wa mkoani
.hata mitoto haichangamki kiviile na baba jina wao.kuweni waangalifu hao watoto wa kubambikizwa hata sumu wanaweza kuwawekea.maana damu nzito bhana