Mnaoijua vizuri Maktaba ya Taifa (Dar es Salaam)

Mnaoijua vizuri Maktaba ya Taifa (Dar es Salaam)

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
20,006
Reaction score
37,915
Mara ya kwanza nilienda mwaka 97 nikiwa darasa la 6.

Mara ya pili nilienda mwaka 2009 kufuatilia ISBN ya kitabu changu nilicho andika. Kitabu kilikuwa kinaitwa " CHABO".

Now nataka kwenda kwa ajili ya kufanya an extensive research.

Nawaulizia bookworms wa JF ambao wana uzoefu na Library ya Taifa ( DSM)

Vipi kuna mipango au hakuna mipango?

Vitabu vya waandishi kama Ptolemy, Aristotle, Plato n.k vinapatikana?

Vitabu kuhusu topics kama ANATOMY vinapatikana?

Military Intelligence etc vinapatikana pia?

With much thanks in advance.
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Back
Top Bottom