Kabisa urusi ni taifa la kishamba kama north koreaAliyoyafanya puttin kwa wapinzani wake hakina tofauti kubwa na awamu ya tano, kwa upande wa demokrasia hamna kitu tunaweza kuiga kutoka kwa Mrusi, sijawahi kuona mradi wowote unao simamiwa na Warusi hapa Tanzania ni heri hata nimshabikie mchina kuliko Mrusi, angalau nimshabikie nchi Ulaya zinatuboost kifedha kwenye budget yetu, je huyo Mrusi mnayesema ni superpower ni kwenye silaha tu.!!!!