Mnaoichukia Superpower Marekani, kuweni wapole tu

Nkobe

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
2,232
Reaction score
3,334
Vita ya Russia dhidi ya Ukraine inawafurahisha na kuwatia moyo watu wenye chuki na Marekani. Nataka niwaambie, hata ukiichukia Marekani itaendelea kuwa taifa lenye nguvu za kiuchumi na kijeshi duniani.

Muundo wa Marekani ndio unaoibeba, Marekani ni Muungano wa nchi 50, tena nchi 50 za watu wanaojielewa, wenye uchumi wa juu, kwa ufupi Marekani ni bara la America ya Kaskazini isipokuwa Canada. Kwa Muundo huo usitegemee watakuwa down

Wako watu wanasema Russia itakuwa superpower, hiyo ni ndoto, Russia kimuundo hana uwezo huo, Russia ingeweza tu kuwa super power kama zile nchi za USSR zingekuwa bado zimeungana.

Wako wanaosema China atakuwa Superpower, kuwa super power unapimwa kwa uwezo wako wa kiuchumi, lakini pia uwezo wa matumizi ikiwemo matumizi ya kijeshi na misaada kwa mataifa mengine. Kinachoiathiri China ni idadi ya watu, kwa sasa ina takriba watu bilioni 1.4, hawa watu unawezaje kuwahudumia? Naifananisha China na tajiri mwenye wake 10 na watoto 50, kila siku anasonga gunia la unga kulisha watoto, huyu ukimvuruga dakika umemmaliza. Standard ya maisha ya mchina mmoja mmoja haifukii hata nchi moja ya Ulaya, kwa sababu wanagombea unga wa baba tajiri, ndio maana Mchina akija Tanzania utakuta anaishi nyumba duni tofauti na Mmarekani ambae anachagua maeneo kiwango ya kuishi.

Hivi mara ngapi umesikia China katoa msaada, au mara ngapi umesikia China kapeleka msaada kwenye nchi iliyopatwa na maafa ya asili kama kimbunga, mafuriko nk? Lakini umesikia mara ngapi Marekani katoa msaada, ikiwemo ARV ambazo Tanzania inapewa miaka nenda rudi?

Au umeona mabango mangapi yameandikwa kutoka kwa watu wa Marekani vs watu wa China vs watu wa Russia?

Umoja ni nguvu, kwa huu umoja wa Marekani tutasubiri sana, bora uwapende, hivi kama Bara la Africa, pamoja na umasikini wake, kama lingekuwa nchi moja nani angeligusa, uanzie mashambulizi wapi?

Mnaoichukia Marekani kuweni wapole, au subiri nayo isambaratike kama USSR, ambapo ni ndoto
 
ONA UKUBWA WA USA
Screenshot_20220326-204928_Chrome.jpg
 
Uko kama mtoto mdogo, unadili na simple things, hakuna mtu anayeichukia USA kama unavyodai, ila watu wako objective hata watu waliozaliwa na kukulia USA ambao ni raia wa USA pia wana opinion zao kuhusu nchi yao lkn haimaanishi kwamba wanaichukia, hakuna mtu anayeichukia nchi, jifunze kuwa objective na siyo subjective kwamba kila kitu unaweka either black or white, either uko Simba au Yanga, aidha chadema au CCM, only children do that, watu matured wanakuwa objective, life is more complicated than that na siyo black or white, kwa taarifa yako USA, China na hata Russia siyo maadui, wanashirikiana mambo mengi sana tu kuliko unavyodhania na pia kuna mahali wanatofautiana, wana makubaliano mengi tu, hivyo usiwe simple mind!
 
Kuwa objective haimanishi unakusa sahihi katika jambo husika maana unaweza kutumia data ambazo ni manipulated lakini pia kuwa subjective sio dhambi kama lengo ni kufurahisha au kuleta utani ambao ndani yake kuna fact, fack balance un enclose both subjective na objective data. Iko hivi kuna baadhi wanazengo wana raise opinion kuwa beberu anaweza kupata challenge kutoka kwa wajamaa wa dhamani russia bila facts ila kwa maneno ya vijiweni, ukiona mwenzako amekosea usimshambulie , muwekee facts zake unazojua wewe atajifunza
 
Wengi wanaichulia sababu ya wivu tu..
Wengine pia wanakinyongo sana baada ya Marekani kuwa kiboko halisi wa kusambaratisha tawala za kijinga za kiarabu na kiislam!
Tawala za kijinga amezitwanga kwelikweli sio mchezo, ila wanachache kama saud Arabia, Kuwait, Qatar wanakula bata na ubwenyenye, ukishirikiana na beberu unanufaika kuliko wenye sera zao za ujamaa zinakula ubongo
 
Aliyoyafanya puttin kwa wapinzani wake hakina tofauti kubwa na awamu ya tano, kwa upande wa demokrasia hamna kitu tunaweza kuiga kutoka kwa Mrusi, sijawahi kuona mradi wowote unao simamiwa na Warusi hapa Tanzania ni heri hata nimshabikie mchina kuliko Mrusi, angalau nimshabikie nchi Ulaya zinatuboost kifedha kwenye budget yetu, je huyo Mrusi mnayesema ni superpower ni kwenye silaha tu.!!!!
 
Kuwa objective haimanishi unakusa sahihi katika jambo husika maana unaweza kutumia data ambazo ni manipulated lakini pia kuwa subjective sio dhambi kama lengo ni kufurahisha au kuleta utani ambao ndani yake kuna fact, fack balance un enclose both subjective na objective data. Iko hivi kuna baadhi wanazengo wana raise opinion kuwa beberu anaweza kupata challenge kutoka kwa wajamaa wa dhamani russia bila facts ila kwa maneno ya vijiweni, ukiona mwenzako amekosea usimshambulie , muwekee facts zake unazojua wewe atajifunza

Hayo mambo ya ujamaa vs ubepari yalishaisha tangia ukuta wa Berlin ulipoangushwa nchi pekee ya Kikomunist iliyobakia ni North Korea, Urusi siyo communist country anymore inafwata Christian capitalistic system, Soviet Union ilishaanguka na kama nilivyoandika kwamba Urusi na USA wanashirikiana mambo mengi sana leo hii kuliko media wanavyotangaza sasa kama wao wanaelewana na kushirikiana iweje ninyi huku nje ambao ni neither Russians nor Americans or Europeans muunde makundi ?
 
Vita ya Russia dhidi ya Ukraine inawafurahisha na kuwatia moyo watu wenye chuki na Marekani. Nataka niwaambie, hata ukiichukia Marekani itaendelea kuwa taifa lenye nguvu za kiuchumi na kijeshi duniani.

Muundo wa Marekani ndio unaoibeba, Marekani ni Muungano wa nchi 50, tena nchi 50 za watu wanaojielewa, wenye uchumi wa juu, kwa ufupi Marekani ni bara la America ya Kaskazini isipokuwa Canada. Kwa Muundo huo usitegemee watakuwa down

Wako watu wanasema Russia itakuwa superpower, hiyo ni ndoto, Russia kimuundo hana uwezo huo, Russia ingeweza tu kuwa super power kama zile nchi za USSR zingekuwa bado zimeungana.

Wako wanaosema China atakuwa Superpower, kuwa super power unapimwa kwa uwezo wako wa kiuchumi, lakini pia uwezo wa matumizi ikiwemo matumizi ya kijeshi na misaada kwa mataifa mengine. Kinachoiathiri China ni idadi ya watu, kwa sasa ina takriba watu bilioni 1.4, hawa watu unawezaje kuwahudumia? Naifananisha China na tajiri mwenye wake 10 na watoto 50, kila siku anasonga gunia la unga kulisha watoto, huyu ukimvuruga dakika umemmaliza. Standard ya maisha ya mchina mmoja mmoja haifukii hata nchi moja ya Ulaya, kwa sababu wanagombea unga wa baba tajiri, ndio maana Mchina akija Tanzania utakuta anaishi nyumba duni tofauti na Mmarekani ambae anachagua maeneo kiwango ya kuishi.

Hivi mara ngapi umesikia China katoa msaada, au mara ngapi umesikia China kapeleka msaada kwenye nchi iliyopatwa na maafa ya asili kama kimbunga, mafuriko nk? Lakini umesikia mara ngapi Marekani katoa msaada, ikiwemo ARV ambazo Tanzania inapewa miaka nenda rudi?

Au umeona mabango mangapi yameandikwa kutoka kwa watu wa Marekani vs watu wa China vs watu wa Russia?

Umoja ni nguvu, kwa huu umoja wa Marekani tutasubiri sana, bora uwapende, hivi kama Bara la Africa, pamoja na umasikini wake, kama lingekuwa nchi moja nani angeligusa, uanzie mashambulizi wapi?

Mnaoichukia Marekani kuweni wapole, au subiri nayo isambaratike kama USSR, ambapo ni ndoto
Ni kweli,USA ni superpower,ila linapokuja suala la vita,huwa halina mshindi..
Nadhani Umeona Usuper power wa USA-Vietnam, Afghanistan,Iraq,Libya,Syria,Iran, nk..
Pia Umeuona uSuperpower wa USSR Kule Afghanistan (1970s-80s)

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Aliyoyafanya puttin kwa wapinzani wake hakina tofauti kubwa na awamu ya tano, kwa upande wa demokrasia hamna kitu tunaweza kuiga kutoka kwa Mrusi, sijawahi kuona mradi wowote unao simamiwa na Warusi hapa Tanzania ni heri hata nimshabikie mchina kuliko Mrusi, angalau nimshabikie nchi Ulaya zinatuboost kifedha kwenye budget yetu, je huyo Mrusi mnayesema ni superpower ni kwenye silaha tu.!!!!
Kwa hili uliloandika niktka kupost twitter sasa nikawa nashndwa kiandka thread/sjui
Cha ajabu nalkuta Jf thanks
Nashndwa kuelwa unakuta mtz ni Ant amerika wakat kw Tz tultakiwa kuwapnda hawa watu maana wanatusaidia sana kuna barabar kbao nchin unakuta bango kuubwa kwa msaada wawtu wa Amerika sjawah kuta sehem yyte Tz pameandkw kwa msaada wa Rusia people lakina utakta limtu linakaza fuvu knoma na matua kibao kuwa amerikans
Japo sio lazma kuwapenda ila kiubindam tu sjaonaga huo usuper wa kirus ni kwenye makonbora tu na Ubabe mwiing usio na maana.
 
Kuhusu nguvu za kijeshi sina maelezo marefu ila nifahamuyo mimi ni haya ...

1. Hakuna taifa lenye watu wenye mipango hapa Ulimwenguni kama US. Hawa wahuni ni vichwa balaa, ndo taifa pekee ambalo mpaka sasa hii 2022 kwao huenda walishaipanga toka 1990 huko kama sio 80. Hawaishi kwa kusema kesho tunafanya nini, ila kesho tutatekeleza kitu hiki. Marais wote wanakuja kutekeleza kile ambacho kipo kimepangwa na sio sera sijui takataka gani sijuiiii.

2. Hawa jamaa wana pesa. Ikumbukwe kuwa after WW II hawa ndo waliinyanyua Europe, leo tunawalaumu tu kwa kusema Ulaya inaendeshwa na US, hawajui kuwa nguvu ya Ulaya kiuchumi ilitokana na US miaka hiyo. Ikumbukwe Korea Kaskazin na Kusini zilikuwa taifa moja, marekan akabeba kusini, Russia na china wakabeba juu, leo sote tunashuhudia kuwa raia karibia wote wa North Korea wanatamani kula bata kama la wenzao wa South. Tutalaumu sana nchi nyingi kutaka kujiunga NATO, ila tusiwalaumu, kule mkwanja upo.

3. US amefanya ulimwengu ustaarabike, US amefanya ulimwengu uitambue pesa ni nini, ni kama vile Pablo Escobar alivyofanya watu wajue kuwa hakupa pesa chafu inapatikana kama kwenye madawa. Leo hii kila nchi haiwezi kuingia vitani kwa sababu za kipuuzi pasipo kutazama maslahi ya nchi. Leo china anakataa kuingia vitani, sababu? Hana maslahi na vita, US anazama Libyaz uarabun n.k huku akijua hatoki mtupu. Tz tumesaidia manchi kibao kupata uhuru, leo hii hakuna faida yoyote tuipatayo, Nyerere angekuwa zama hizi wala asingefanya ule upuuzi. Kongore US.

- Sijawahi kuona Military Parade ya US, ila China, Russia, N.korea n.k lakini ninaamini kabisa jamaa ana vyuma vya maana. Ukichukua bajeti yake ya jeshi, utajumrisha nchi takriban zote za mahasimu wake wa Asia, sana sana Russia na China, na bado huenda wasifike nusu yake. US ana experience kubwa ya modern warfare kuliko ayawani yoyote yule wa sasa.

- Nilipokuwa kijana niliamini kuwa hakuna muhuni ktk mapambano kama Russia, lakini kwa hili sakata la Ukraine, tuacheni utani nyie, NATO ni moto mwingine. Jiulize hapo tu hawajaingia mazima, wakiingia mazima si wanamburuza Russi mpaka kwake? Nguvu pekee ambayo naiona imebaki kwa Russia ni Nuclear tu, ila kama vita inakuwa haina hizi nuclear, i swear Russia hanusi mziki wa UK, France na German, achana na US.
 
Ofkoz kwa uchumi wetu US, China, Japan n.k wanajitahidi. Russia labda ilikuwa zamani, pia jamaa yamkini hawapendi ishu za kujihusisha na mataifa ya watu.
 
Kongole mkuu,Umedadavua vizuri sana..America still Ni Super Power
Na Biden Amelionyesha hilo Kwa Ustadi mkubwa sana

Hongera kwa kutoa facts, marekani wanajali sana intellectual rights, ukivumbua kitu unapata copy right unapiga mkwanja serikali inachukua cha kwao bila nongwa, pia yanathamini sana uhuru wa mtu richa ya kukabiliwa na laana ya ubaguzi wa rangi
 
Vita ya Russia dhidi ya Ukraine inawafurahisha na kuwatia moyo watu wenye chuki na Marekani. Nataka niwaambie, hata ukiichukia Marekani itaendelea kuwa taifa lenye nguvu za kiuchumi na kijeshi duniani.

Muundo wa Marekani ndio unaoibeba, Marekani ni Muungano wa nchi 50, tena nchi 50 za watu wanaojielewa, wenye uchumi wa juu, kwa ufupi Marekani ni bara la America ya Kaskazini isipokuwa Canada. Kwa Muundo huo usitegemee watakuwa down

Wako watu wanasema Russia itakuwa superpower, hiyo ni ndoto, Russia kimuundo hana uwezo huo, Russia ingeweza tu kuwa super power kama zile nchi za USSR zingekuwa bado zimeungana.

Wako wanaosema China atakuwa Superpower, kuwa super power unapimwa kwa uwezo wako wa kiuchumi, lakini pia uwezo wa matumizi ikiwemo matumizi ya kijeshi na misaada kwa mataifa mengine. Kinachoiathiri China ni idadi ya watu, kwa sasa ina takriba watu bilioni 1.4, hawa watu unawezaje kuwahudumia? Naifananisha China na tajiri mwenye wake 10 na watoto 50, kila siku anasonga gunia la unga kulisha watoto, huyu ukimvuruga dakika umemmaliza. Standard ya maisha ya mchina mmoja mmoja haifukii hata nchi moja ya Ulaya, kwa sababu wanagombea unga wa baba tajiri, ndio maana Mchina akija Tanzania utakuta anaishi nyumba duni tofauti na Mmarekani ambae anachagua maeneo kiwango ya kuishi.

Hivi mara ngapi umesikia China katoa msaada, au mara ngapi umesikia China kapeleka msaada kwenye nchi iliyopatwa na maafa ya asili kama kimbunga, mafuriko nk? Lakini umesikia mara ngapi Marekani katoa msaada, ikiwemo ARV ambazo Tanzania inapewa miaka nenda rudi?

Au umeona mabango mangapi yameandikwa kutoka kwa watu wa Marekani vs watu wa China vs watu wa Russia?

Umoja ni nguvu, kwa huu umoja wa Marekani tutasubiri sana, bora uwapende, hivi kama Bara la Africa, pamoja na umasikini wake, kama lingekuwa nchi moja nani angeligusa, uanzie mashambulizi wapi?

Mnaoichukia Marekani kuweni wapole, au subiri nayo isambaratike kama USSR, ambapo ni ndoto

Ukrein wanachakaa wapambe wa marekani wanapiga domo [emoji16][emoji16][emoji16] mkuu maneno matupu hayajengi
 
Uko kama mtoto mdogo, unadili na simple things, hakuna mtu anayeichukia USA kama unavyodai, ila watu wako objective hata watu waliozaliwa na kukulia USA ambao ni raia wa USA pia wana opinion zao kuhusu nchi yao lkn haimaanishi kwamba wanaichukia, hakuna mtu anayeichukia nchi, jifunze kuwa objective na siyo subjective kwamba kila kitu unaweka either black or white, either uko Simba au Yanga, aidha chadema au CCM, only children do that, watu matured wanakuwa objective, life is more complicated than that na siyo black or white, kwa taarifa yako USA, China na hata Russia siyo maadui, wanashirikiana mambo mengi sana tu kuliko unavyodhania na pia kuna mahali wanatofautiana, wana makubaliano mengi tu, hivyo usiwe simple mind!
Kuna wakati huwa mnajidhadhalilisha kwa kuwajibu watu dhalili.
 
MIMI RUSSIA NAMPENDEA PAMOJA TU KUMWAGA MABOMU PALE UKRENI ,MITAKWIMU TUMEIZOEA. NAWEKA HISTORIA KWA KAUMRI KANGU HAKA KACHACHE NIMEONA KWA MACHO MBABE MMOJA AMBAE AMEWEZA KUIKUN'GUTA NA KUIRARUA NCHI YA KIZUNGU BILA KUOGOPA YEYOTE. TULIZOEA ARABUNI ,HATA RUSSIA ANGESHINDWA BADO RUSSIA NI NCHI YA KIUMENI HASWA. MENGINE MALIWAZO TU.
 
Back
Top Bottom