Mnanishauri nini kwa Kiongozi wa kituo cha kazi

Kwanza watu wote job,tumeshangaa why Tangazo kama hili,wakati tulijadili katika kikao fulani na tukakubaliana,ila leo ni self decission,why Wakati tulijadiliana?
Wewe utakuwa mmakonde tu kwasabb zifuatazo moja
Jina lako chimbekeha
2.ni mtata km walivyo wamakonde
3.....
 
1.self decission tu mkuu,ila awali mwisho ilikuwa uchote angali kuna mwanga kabla ya giza.

2.hatujamwambia,tangazo kaweka saa 9 mchana wakati huo tupo katika majukumu ya kazi,mwisho wa kufanya kazi ni saa 10 jioni na hataki mtu ateke maji wakati wa kazi

3.muda uliisha mkuu, yeye humtumia mkewe kuteka maji wakati sisi tupo job, inshort anafanya kama anakomoa maana muda wa kuchota maji na muda wa kazi unafanana,ok yeye yupo karibu na huduma je tulio mbali na hapo tunapata mda gani kupata huduma?

Basi nakushauri kesho chelewa kuingia job na akiuuliza mwambie ulianzia kisimani kuchota maji as kisima kinafungwa saa 10 muda sawa sawa na wa kutoka job so hutoweza wahi kuchota waterrrr
 
Basi nakushauri kesho chelewa kuingia job na akiuuliza mwambie ulianzia kisimani kuchota maji as kisima kinafungwa saa 10 muda sawa sawa na wa kutoka job so hutoweza wahi kuchota waterrrr
Ameomba radhi,na amekili kuwa alikosea...
Hii ni baada ya leo tu kufika ofisini nikaomba kikao cha dharura tukaitana tukajadili kwa masaa mawili mkuu na hatimaye kikao kikafungwa kwa jazba maana alikuwa maji ya shingo.
 
Unyonge ukizidi kinachofuata ni dharau!!!
Ofisini mi huwa sipendagi dharau,haijalishi una cheo kiasi gani!ukinidharau huwa natafuta namna ya kukudharau pia .
Ila hilo suala lako lilikuwa dogo Sana,humu maofisin tunakumbana na Mambo mazito sana
 
Hili unaloliona dogo mimi nimemaindi kinyama na nikaitisha kikao cha dharura muda wa masaa mawili tunajadiliana,rejea updates above.
 
Back
Top Bottom