Ngoja waaamke......
warembo wamelala bado...na haka kamvua hakuna hata mmoja wa kuamka...
wapi huko kuna mvua....? mna bahati sana......
wapi huko kuna mvua....? mna bahati sana......
wamelala au wamelaliwa?
Atanipa sasa, au ataishia kunipaka shombo tu?
Hommie leo jumangapi na kuna nini?