mie nashangaaga mtu unakutana kwenye daladala eti naomba namba yako
ya nini hata jibu la maana hana
Mim niliacha kuomba no. tangu nipewe no. ya mchungaji
i am too old for this...
mie nashangaaga mtu unakutana kwenye daladala eti naomba namba yako
ya nini hata jibu la maana hana
Because life is too fast atahitaji muda wa ziada kuongea nawe na kukufahamu!
Mimi sioni shida kumpa mtu namba (au kumnyima) ila kujua wewe kama kijana (wa kike/kiume) malengo yako kimaisha ndiko kutakako determine muelekeo.
Mfano mzuri mwaka juzi,2011 nikiwa kanisani tena...nilimuona binti mrembo sana akienda kutoa sadaka. Nikajiambia huyu baada ya ibada lazima nikamjulie hali/kumsabahi tu (kwa roho safi). Sasa ilipofika wakati wa sadaka ya pili nikamuona ametoa na kutoka nje kuelekea nyumbani. Haraka nikajua hapa ndo sitoweza kumuona. Hivyo nikatoka nje and the only thing ningeweza kufanya (since nilitaka kurudi ibadani immediately) ilikuwa kumuomba namba yake ya simu. Of course alinipa nanikarudi ibadani. Yaliyoendelea hapo ni a story for another day...
What am saying is, kutokana na utandawazi na maisha ya sasa yalivyo most probably you will meet your future man/wife through one of these technological gadgets.kama si hivyo basi they will play a very big role katika r/ship yenu. :A S-key:
Sasa heaven on earth, nisipochukua namba tutapata wapi muda wa kuongea na kujuana vizuri na tupo ndani ya daladala? If am interested on you n we are in unpleasant place due to what I want to tell you, what first clicks my mind is give you warmly greeting n ask for your mobile number.
Nyinyi pondeni kuhusu hili swala la kuomba number! Nitakutana nawe vipi bila mawasiliano ya simu? How will I start dating you without having your phone number. Nitaendelea kuomba nakuomba hadi hapoo.........
maswali mengine uje hua mnazingua!!mie nashangaaga mtu unakutana kwenye daladala eti naomba namba yako
ya nini hata jibu la maana hana
maswali mengine uje hua mnazingua!!
unaulizaje namba ni ya nini? kwan namba kazi yake ni nini?
me bora uniambiie wazi kua hutaki, na hunipi namba yako.
sasa chaajabu mwisho wa siku hua mnatoa namba na mnatoa na kitu yenu.
I didint see this quote.......leo ndio naiona
ni kweli usemayo ila sometimes u can find it very strange........na mie mara nyingi huwa
sitoi namba yangu for sure....naona ka sijakuzoea all over the sudden u want my No...
mie nashangaaga mtu unakutana kwenye daladala eti naomba namba yako
ya nini hata jibu la maana hana