Mnamshauri vipi huyu?

TUMBOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
3,877
Reaction score
2,069
Shost mmoja anabwanaake ana miaka nae saba kwenye mahusiano, cha ajabu kila akiingizia habari za kuoana uyo mwanaume anachenga kibaya zaid mwanaume yupo mkoa mwingne na mwanamke yupo mkoa mwingne na hawajaonana wana miez nane sasa.

Wamejenga nyumba wote na mwanamke ndio msimamia mafundi mvua yake jua lake kisa saiti na mumewe mwanaume ataki ndugu mwanaume kila analotenda mwanamke kwake baya.

Na shost ndio mahaba nidondokee nikufiee.

Mnamshauri vipi mtu huyu wana JF.
 
Yaani miaka saba anatoa free p???????? (Msemo kwa hisani ya lara 1)

Mbaya zaidi haoni kuwa anapoteza nguvu zake za kike hapo?

Mwache ajenge mwanamke mwenzie aje kukaa si anadhani anajua saaaaana kupenda eeeeh

Kusoma hajui hata picha haoni???
 
Last edited by a moderator:
Miaka saba!!!
Uchumba ndugu huo!!
Mwambie afute ndoto za kuolewa aendelee kusimamia miradi akisubiri kuja kukabidhi kwa mmiliki halali atakapoolewa!!!
Mahaba nipumbaze ndio hayo
 
Hata usmshaur ktu co ya hayo mahaba nidondokee na mahaba niue.ukjarbu kutaka kumshaur atakuona mbaya.muache atagive up mwenyewe
 
Sasa kinachomfanya amng'aninie ni nini? Au hela inahusu lol? Mwambie a move on huyo si mume
 
Yaani miaka saba anatoa free p???????? (Msemo kwa hisani ya lara 1)

Mbaya zaidi haoni kuwa anapoteza nguvu zake za kike hapo?

Mwache ajenge mwanamke mwenzie aje kukaa si anadhani anajua saaaaana kupenda eeeeh

Kusoma hajui hata picha haoni???

Tena mwanaume akiitaji tu anaikimbiza faster
 
Last edited by a moderator:
Miaka saba!!!
Uchumba ndugu huo!!
Mwambie afute ndoto za kuolewa aendelee kusimamia miradi akisubiri kuja kukabidhi kwa mmiliki halali atakapoolewa!!!
Mahaba nipumbaze ndio hayo

Shost ajielew hata .....kazi kafkuzwa kisa mwanaume kaamua kwenda chuo kujiendeleza....semister ya kwanza tu ka disco....
 
Hata usmshaur ktu co ya hayo mahaba nidondokee na mahaba niue.ukjarbu kutaka kumshaur atakuona mbaya.muache atagive up mwenyewe

Ni kweli kabisa nlimshauri sana kipindi cha nyumaa akaniona mbaya namuonea wivu ye anamwanaume anafuture naeee....saiv kadisco chuo+hana kazi...ndio anakumbuka ushaurii wangu na anataka ni mshauri na hapa cion hata cha kumshaur japo namuonea huruma mwanamke mwenzangu
 

Mambo ya watu haya kuhusu!
 
Hilo picha halioni or anataka ushauri gani.....
Subiri aonyeshwe mke halali ndo aje tumshauri
 
Hilo picha halioni or anataka ushauri gani.....
Subiri aonyeshwe mke halali ndo aje tumshauri

Cjuii mi mwenyewe namshangaa anajifanya maloveee kazaliwa nayoo yeye kiukweli ananiboa ad cjui cha kumshaur.......ivi mwanaume anaeza kaa miez nane bila kupata chiii....lakin ye wala afikirii iloo
 

Atalisoma jiji na km aliandika jina la mwanaume kwny nyaraka za kiwanja na nyumba itakula kwake. Auze hiyo nyumba asepe zake km hakuna nyaraka za umiliki unaomhusisha huyo jamaa zake.
 
Shost ajielew hata .....kazi kafkuzwa kisa mwanaume kaamua kwenda chuo kujiendeleza....semister ya kwanza tu ka disco....

Mradi alikuona mnafki wa mapenzi yao,sasa nawe muache.
Mwambie yeye ni mtu mzima anajua cha kufanya,kama kweli hajui basi asubiri siku akiletewa card ya mwaliko wa harusi jamaa anaoa ndio aje ashauriwe!!
Kujitoa fahamu tu!
 
Atalisoma jiji na km aliandika jina la mwanaume kwny nyaraka za kiwanja na nyumba itakula kwake. Auze hiyo nyumba asepe zake km hakuna nyaraka za umiliki unaomhusisha huyo jamaa zake.

Ilo li mwanaume lake lenyewe ka li IDD AMIN vile auze nyumba c atamkata mapanga... likatili iloo..kwel wanawake tunaingia chaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…