Mnampa ushauri gani huyu Jamaa?!

Polisi nadhani wanajiuliza huyu jamaa kwanini anajiamini hivyo? Labda anataka kijilipua?
 
Hao polisi nao vilaza yaani mtu mmoja tu wamejifunika utadhani wamemuona Osama.
 
Kama tulikuwa na wafanyakazi hewa na wanachapa kazi kweli kweli, yawezekana hata hata polisi ni hewa, jamaa anataka athibitishe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…