Mnamfahamu huyu?

Bitchuka kazi kwako..........................duuh zamaniiiiiiiii. Yupo hai kweli?
 
Hassan Rehan Bitchuka
ni mwimbaji bora wa tanzania na afrika mashariki kwa ujumla kwa muda wote. hakika hakuna kama Bitchuka. kwa anayebisha na asikilize wimbo "hiba" atarudi kuniambia
 
Hassan Rehan Bitchuka
ni mwimbaji bora wa tanzania na afrika mashariki kwa ujumla kwa muda wote. hakika hakuna kama Bitchuka. kwa anayebisha na asikilize wimbo "hiba" atarudi kuniambia

mwimbo unaitwa 'Rehani' ndio kiboko !
 
hassan rehan bitchuka
ni mwimbaji bora wa tanzania na afrika mashariki kwa ujumla kwa muda wote. Hakika hakuna kama bitchuka. Kwa anayebisha na asikilize wimbo "hiba" atarudi kuniambia
huyu mwimbaji ninamkubali,ana sauti na ghani ya pekee kabisa na mtunzi mahiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…