mwanamziki wa siku nyingi,picha hii ni enzi za ujana wake.
Bitchuka kazi kwako..........................duuh zamaniiiiiiiii. Yupo hai kweli?
Hassan Rehan Bitchuka
ni mwimbaji bora wa tanzania na afrika mashariki kwa ujumla kwa muda wote. hakika hakuna kama Bitchuka. kwa anayebisha na asikilize wimbo "hiba" atarudi kuniambia
huyu mwimbaji ninamkubali,ana sauti na ghani ya pekee kabisa na mtunzi mahirihassan rehan bitchuka
ni mwimbaji bora wa tanzania na afrika mashariki kwa ujumla kwa muda wote. Hakika hakuna kama bitchuka. Kwa anayebisha na asikilize wimbo "hiba" atarudi kuniambia