Mnamfahamu huyu?

Amekuchukulia demu wako sio? Wa namna hiyo wala usiwamaindi. Hawezi kuwafikisha popote, ni maigizo. Huwa mwanaume ana moja tu sio mbili
 
Namfahamu ni Bwana wangu vp kafanyaje? Kakuchukulia dem?
 
Mmeaanzaa watoto wa mama! Tumfahamu kwani yeye nani ana umuhimu gani kwetu? Hebu tuondolee upompompo hapa alaaa!!!
 
Ni ww mwenyewe kingfish, naona unatamba 2 na warembo hapo!
 
Toa maelezo kwanza kafanyanini?Maana hata kama tunamfahamu sasa tufanyeje?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…