Good point!
Majuzi tu hapa kuna mdogo wangu mmoja nilimpeleka na baadaye kwenda kumchukua hapo Maisha.
Crowd niliyoiona ikiingia na kutoka kweli ilikuwa kwenye hilo rika ulilolitaja.
Sikuona watu wazima wenye umri mkubwa (at least kimuonekano) wakiingia na kutoka.

Halafu huku night clubs ni kama for teenagers
watu above 30 ni bar na guest houses tu... strange culture kwa kweli
ukiingia night club ni wanafunzi wa vyuo na secondary..
no wonder sex ndo only thing after work...hakuna places za ku hang out much for elders zaidi ya bars...na guest houses.,hotels ..
Speaking of guest houses....hivi umegundua kuwa zipo guest nyingi tu ambazo uwepo wake ni kwa ajili ya kuhudumia watu wanaotaka kufanya ngono?
Yaani licha ya kuwepo kibao nje kinachosema kwamba hii ni guest house, mtu huwezi kwenda na kusema eti ukodi chumba kwa siku tatu au nne.
Sasa guest kama hizo kama siyo madanguro ni nini?
Mkuu nimecheka sana hapo kwenye kujitoa ufahamu na kuvigonga chupa. Teh teh teh..!Hata mm nipo bar fulan naona kuna vitoto vinachezacheza kuzunguka meza yangu. Ngoja vimwage mapochopocho niliyouaweka mezani kwangu. Nitajitoa ufahamu nivigonge chupa.
Ona linavyorembua macho! Pamb.aff!