Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
Nipo sehemu najitundika madrip. Kuna wamama na wababa wamekuja na vitoto vyao under 5 vinazurula humu bar,nikienda toilet nakutana navyo, njiani nakutana navyo hadi usiku huu.
Wazazi tafuteni sehemu nzuri kwa watoto na sio bar.
Wazazi tafuteni sehemu nzuri kwa watoto na sio bar.