Mnakwenda wapi?

Mnakwenda wapi?

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
uploadfromtaptalk1353905016868.jpg Sijui kilakala au msalato!
 
Nafikiri wanafuata vitu ambavyo havimo ndani ya senyenge (fensi).
 
Kifungiro girls hiyo ndo wnavaa dress za aina hiyo
 
acheni kiherher walikuwa wanakuja ghetto kwangu hao.msinionee wivu.
 
Katiba mpya iwape uHURU wasiachana wa Bwenini wanapozidiwa, kwa kutambua uwepo wa ule ugonjwa wa kuchekacheka
 
Back
Top Bottom