Mnakumbukaa hii

egentle

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
808
Reaction score
389
Leo nimekaaa na kitoto kimoja nijasikia kinasumbua mama yake, nkakumbuka miaka ya nyuma tulivyo kuwa tunakataza wadogo kuimba haka kanyimbo, instead wakalili table.

Nani mganga wa tausi
Karumanzilaaa,
Lala salama,
Mama wa kambo,
mbona wanitesa,
sasa naondoka
Kaa peke yako,
koma kunipiga,
Gari la baba ,
Bab mzazii,
ziz la ngombe,
Mbele ya nyumba,
mbali na wew ,
Wew na mim
Zizi la ngombe,
Mbele ya nyumba,
Mbali na wew,
Wee na mimi,

Tone la maji,
Jitu la jale,
Lenye midevu,
Vumbua dhahabu,
Bubu hasemi,
mimi na wew
Ww na mini

Nan anakakumbuka, wakumbuka nin hapo
 
wewe na mimi
mimi mdogo
gogo la mti
tina na mjuba
baba mkubwa
bwawa la samaki
king majuto
tone la maji
 
Nlikuwa nachefukwa nkiskia hicho kiwimbo dah ingekuwa ni leo ningelamba ndimu kwakweli...
 
Ni kiwimbo gani hiki.......mbona sijawahi kukisikia........?
walijua igizo la tausi? ndo hako kawimbo kameungwa ungwa kutoka kwenye hilo igizo ni kiwimbo kilikuwa kinaimbwa tu na watoto...
 
walijua igizo la tausi? ndo hako kawimbo kameungwa ungwa kutoka kwenye hilo igizo ni kiwimbo kilikuwa kinaimbwa tu na watoto...

Unakumbuka Igizo la tausi la wakenya??

Ahaaa.......kumbe hivyo.......nilikuwa nafuatilia kweli.......ila sikumbuki kukasikia.......nilisikia kuna yule mdada alijiua.......nimemsahau........
 
Ahaaa.......kumbe hivyo.......nilikuwa nafuatilia kweli.......ila sikumbuki kukasikia.......nilisikia kuna yule mdada alijiua.......nimemsahau........

Mindred au??
 
wewe na mimi
mimi mdogo
gogo la mti
tina na mjuba
baba mkubwa
bwawa la samaki
king majuto
tone la maji

Tone la maji
Jitu la kale
Lenye madevu
Vumbua zahabu
Bubu asemi
Mim na wewe
Wembe wa kucha
Chakula kitamu
Mungu mkubwa
Bwawa la samaki
Kindi majuto
Tone la maji
Nimechioooooikaaaa
 
Dr kuna watoto wa enzi za Mwinyi na Mkapa humu...wana vimichezo vyao wenyewe

Si ndio hiyo Dr......sisi wa enzi za Karl Peters wacha tutulie kwanza..........
 
Dr kuna watoto wa enzi za Mwinyi na Mkapa humu...wana vimichezo vyao wenyewe

Ila nahisi ulipata kusikia wadogo zetu, watoto zetu wakiiimba haka kawimboo
 
Unanikumbusha mambo ya siti binti kasri like igizo lilikuwa zuri Sana.
 
Haha why, mamiii
Basi tu nlikuwa sikapendi, nakumbuka nlikuwa primary wakat hako kawimbo kanashika kasi basi kila mtu shuleni anakaimba, wengine wanaandika kwenye madaftari aaah yan nachukia nikiskia!!!!mara ukutane na vitoto vina mapengo navyo vinaimba uuuh bora lilipita hilo nalo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…