Mnakumbuka ujambazi ulivyokithiri Kagera na maeneo ya jirani

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
Kuna wakati ujambazi ulikithiri maeneo ya Kagera na maeneo ya jirani na mkoa huo. Ujambazi mkali uliosababisha vifo na majeraha.

Late 90s na early 2000s, kulikuwa kuna vikundi vinavyofanya uvamizi kwa kutumia siraha za moto. Watu wengi walisema wengi wa wale majambazi walikuwa ni wenye asili ya Burundi, Rwanda na Congo.

Magari mengi yalikuwa yanavamiwa na huku abiria kuporwa mali zao. Majumba na biashara zilivamiwa na mara nyingine wahanga kuuliwa.

Wengi walisema jamaa walikuwa ni wale waasi katika vita za wenyewe kwa wenyewe wakipenyeza kuingia Tz na silaha. Wengine inasemekana walikuwa ni wakimbizi waliotoweka kutoka refugee camps na kujiunga na connection za ujambazi.

Tunaomba mwenye info au shuhuda zaidi atupatie kuhusiana na issue ya ujambazi kipindi kile maeneo ya Kagera.
 
Hivi ule ujambazi wa mapori ya ngara, biharamlo, karagwe, kibondo na kasulu ulikuwa ni ujambazi wa kweli au ilikuwa ni majaribio ya nchi jirani kutaka kupanua mpaka wake ili nayo iwe kubwa? Bahati nzuri nchi yetu iko imara kiulinzi waliumaliza ujambazi ulimalizwa
 
Nafikiri ilikuwa ni wale vijana wa nchi za karibu walipata silaha wakati wa vita za waasi, sasa hali ikawa imekuwa ngumu kwao ikabidi waje wateke watu huku bongo
 
Ndio hao waliosumbua hadi ziwani kuteka wavuvi na kuwafanyia ushetani wavuvi ambapo wameacha maumivu na kilio kwa wavuvi hadi kesho.
Wakatili sana wakimata wavuvi walihakikisha wanaua
Unaambiwa chagua adhabu
1.Kanyaga lami means jitose majini ukipona ni wewe ukifa ni wewe.
2.Uvae carwash.
Yaani wanakukata mikono yote miwili
3.Ukatwe pensi means unakatwa miguu yote miwili
4.Au ucheke means wanakata midomo yote miwili
Pana watu wametoka kwenye utu kabisa.
Ukigoma zote unauliwa kwa risasi au panga
 
Aiseee hatari mkuu,

Ahsante sana.

Endelea kutupatia nondo.
 
Aiseee hatari mkuu,

Ahsante sana.

Endelea kutupatia nondo.
Pana mfanyabiashara jiwe alimfix kajifanya kuokoka siku hizi ameoga sana damu za watu kwa utajiri wa damu zikiwemo meli,Kanda ya ziwa wanamjua sana huyu mshenzi hayawani kamwaga roho za watu wengi sana ziwani mshenzi sana yule mzee.
Hatakasiki hata akitubu vipi kwa vilio vya wajane na mayatima wanaoteseka alipowaondolea wapendwa wao kwa ukatili mkubwa.
Ingekuwa nchi za kiarabu zamani sana hata jua asingeliona.
Kafanya ufedhuli mkubwa sana ziwani ili kupata utajiri wa damu.
 
Aisee, alikuwa anafanya kafara?
 
Mtaje tumjue
 
Back
Top Bottom