Mnakuimbuka hiii

Badjee na monkey kila jmoc itv lazma niwafuatilie
 
Nyani huyo. Da! umenikumbusha miaka ya 1999, nikitoka church Chang'ombe nikifika home sibanduki kwenye TV, by that time ilikuwa inaoneshwa na ITV saa tatu hadi saa tano Jumapili.
 
Da hata mimi nilikuwa nikitoka kanisani napita ukumbi wa video walikuwa wanarusha saa tatu asubuhi nilikuwa naikuta itv
 
Niko kwenye 30s mpaka sasa that's the bst thing nimewai ona.ntapata wapi series nzima???ni story iko kwenye vitabu vya wachina
 
Niko kwenye 30s mpaka sasa that's the bst thing nimewai ona.ntapata wapi series nzima???ni story iko kwenye vitabu vya wachina
Kwenye kin'gamuzi cha startimes channel 155 star kunfuu huwa wanaonyesha ila mda sikumbuki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…