Mnakataza watu wasivute bangi wakati mnaruhusu rizla

MT255

JF-Expert Member
May 3, 2012
3,381
4,648
Hii nchi ni ya ajabu sana...wanakataza watu wasivute bangi wala kujihusisha na bangi wakati...serikali hiyo hiyo inaruhusu utengenezwaji wa lizla...karatasi inayotumika katika matumizi ya kuvutia bangi....hivi wadau mnaliona hili liko sawa kweli.
1410453959804.jpg
1410453971674.jpg

b9e194e6-265e-43c1-9f69-dfdf1019d8ce.jpg
 
Hii nchi ni ya ajabu sana...wanakataza watu wasivute bangi wala kujihusisha na bangi wakati...serikali hiyo hiyo inaruhusu utengenezwaji wa lizla...karatasi inayotumika katika matumizi ya kuvutia bangi....hivi wadau mnaliona hili liko sawa kweli....

Hizi ni kwa ajili ya kusokotea tumbaku (sigara mfano wa sonyo wanazovuta vijijini), japo watanzania wengi hawatumii sigara za aina hii. Majuu ni kitu cha kawaida kabisa. BTW Chupa za pespsi hazipo kwa ajili ya kuweka gongo bali soda! Au?
 
Kuna jamaa anasomesha watoto shule kwa biashara ya bangi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hii nchi ni ya ajabu sana...wanakataza watu wasivute bangi wala kujihusisha na bangi wakati...serikali hiyo hiyo inaruhusu utengenezwaji wa lizla...karatasi inayotumika katika matumizi ya kuvutia bangi....hivi wadau mnaliona hili liko sawa kweli....

kwa vile mapanga yanatumika kuchinja watu serikali izuiye uingizaji na utengenezaji?!!
 
Back
Top Bottom