Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,329
- 40,650
Kuna waliooa na bado wanafanya hicho unachokiita uzinzi. Wanaokataa ndoa hawakatai kuchakata mbususu au mahusiano ya kimapenzi baina ya jinsia mbili wanachokataa ni mfumo wa ndoa umewekwa kama security kwa mwanamke na insecurity kwa mwanaume. Ndio ipo kwa ajiri ya kumnufaisha mwanamke. Binafsi sitaooa mpaka sheria ya ndoa ifanyiwe marekebisho yatakayoniridhisha.Kumekuwa na Wimbi kubwa aina ya Tsunami ambalo limekuwa likijinadi kuhusu kukataa Ndoa, likitoa sababu mbalimbali za kujitetea.
Lakini mtu anayekataa Ndoa anakabili vipi hisia zake. Binadamu tumeumbwa na Sexual Desire (Matamanio ya kufanya ngono) for pleasure, yani kwa ajili ya kujiburudisha. Na hali hii ya matamanio ya ngono umkumba kila mtu, mpaka wazee.
Kukataa Ndoa maana yake, unakuwa mtu huru, ukiwa mtu huru na ukapatwa na sexual desire, matamanio ya kufanya Ngono maana yake unayaondoa vipi hayo matamanio...
Njia ambazo hutumika kuondoa sexual desire Moja ni kujichua na nyingine ni kufanya mapenzi na watu tofauti tofauti, kama ni mwanaume atakuwa anatafuta wadada wa one night stand (Penzi la usiku mmoja) mfano malaya au wanawake watakao kuwa rahisi. Na kama ni Mwanamke basi atajirahishisha kwa mwanaume hili aweze kukizi haja zake. Na wanawake aina hii wengi wanatumia neno "Kudanga" kama kichaka cha kuondoa hamu ya tendo la ndoa, na wengi wao uchepuka na waume za watu, huku wakijificha kwenye kivuli cha Single Mother.
Maana yake ni kwamba watu wanaokataa Ndoa ni watu wanaofanya uzinzi hili kukizi matamanio yao ya mwili.
Kubali Ndoa kataa Uzinzi.
naunga mkono hoja yako!!!!!,,unao unafikiri uko peke yako kumbe kuna majamaa yanamtawanya mavuzi kila mara!!!Kuna waliooa na bado wanafanya hicho unachokiita uzinzi. Wanaokataa ndoa hawakatai kuchakata mbususu au mahusiano ya kimapenzi baina ya jinsia mbili wanachokataa ni mfumo wa ndoa umewekwa kama security kwa mwanamke na insecurity kwa mwanaume. Ndio ipo kwa ajiri ya kumnufaisha mwanamke. Binafsi sitaooa mpaka sheria ya ndoa ifanyiwe marekebisho yatakayoniridhisha.
sisi ma paroko unatuambiaje sasaKumekuwa na Wimbi kubwa aina ya Tsunami ambalo limekuwa likijinadi kuhusu kukataa Ndoa, likitoa sababu mbalimbali za kujitetea.
Lakini mtu anayekataa Ndoa anakabili vipi hisia zake. Binadamu tumeumbwa na Sexual Desire (Matamanio ya kufanya ngono) for pleasure, yani kwa ajili ya kujiburudisha. Na hali hii ya matamanio ya ngono umkumba kila mtu, mpaka wazee.
Kukataa Ndoa maana yake, unakuwa mtu huru, ukiwa mtu huru na ukapatwa na sexual desire, matamanio ya kufanya Ngono maana yake unayaondoa vipi hayo matamanio...
Njia ambazo hutumika kuondoa sexual desire Moja ni kujichua na nyingine ni kufanya mapenzi na watu tofauti tofauti, kama ni mwanaume atakuwa anatafuta wadada wa one night stand (Penzi la usiku mmoja) mfano malaya au wanawake watakao kuwa rahisi. Na kama ni Mwanamke basi atajirahishisha kwa mwanaume hili aweze kukizi haja zake.
Na wanawake aina hii wengi wanatumia neno "Kudanga" kama kichaka cha kuondoa hamu ya tendo la ndoa, na wengi wao uchepuka na waume za watu, huku wakijificha kwenye kivuli cha Single Mother.
Maana yake ni kwamba watu wanaokataa Ndoa ni watu wanaofanya uzinzi hili kukizi matamanio yao ya mwili.
Kubali Ndoa kataa Uzinzi.