Ndio upo!Kuna uhusiano wa
Kataa ndoa na hakuna MUNGU.
Sababu ya kuoa ndo uamua ndoa itadumu kwa muda gani au itakutesa kwa muda gani.Hao wanaokataa ndoa wana hoja maridhawa, nimewahi kuwasikia mapastari wawili kwa nyakati tofauti wakiponda kuoa. Wanasema ni matatizo matupu, kupigana, mizozo, mara unununiwe, mara unyimwe unyumba halafu anapewa mwingine kwa raha zote huko nje, ni ngumi kwa kwenda mbele, taabu tupu. Wanaonya kama utaweza kukabiliana na changamoto za ndoa oa tu, kama vipi jitafakari sana. Pastari mwingine alisema kama miaka inarudi nyuma awe kijana hana hamu ya kuoa hataki kuombwa hela kila siku. Ndoa nzuri pale unapohitaji huduma ya penzi tu. Penzi la kwenye ndoa halina gharama unapata muda wowote ukitaka. Mapenzi yamekuwa ghali sana siku hizi huwezi kupata penzi la bure kwa mwanamke asiye mke wako. Waliowahi kuingia kwenye ndoa zikavunjika wana hoja za kukataa ndoa wasipuuzwe
Hivi Yesu alikuwa mzinzi ?Kuna uhusiano wa
Kataa ndoa na hakuna MUNGU.
Hivi mtu asipotaka kuoa kunakuwa na tatizo ?Sababu ya kuoa ndo uamua ndoa itadumu kwa muda gani au itakutesa kwa muda gani.
Tatizo ni kuoa ovyo bila kujua kwanini unaoa. Kama huyo padri sababu yake kuu ni ngono, sasa utaifanya hiyo ngono masaa 3 kwa siku then masaa mengine mtafanya nini? Hakupaswa kufunga ndoa bila kujua jibu la hilo swali.
Unaoa ili nini? Mwenzako anajua kwanini unamuoa?
Kwanini unaoa/kuolewa?
1. Kupata uraia.
2. Kulea watoto katika mwavuli mmoja.
3. Kukuza uchumi.
4. Kujilinda na magonjwa.
5. Maagizo ya dini.
6. Heshima katika jamii
7. Nafasi ya kisiasa
8.Fursa za ajira
9.Ngono
10. Hisia za mapenzi tu
11. Kubadili hali ya umasikini ya ulikotoka.
Sababu ni nyingi, Lazima muelewane sababu zenu za kuamua kuoana na hiyo sababu ikishatimia ni nini kinafuata.
Yesu na Paulo walikuwa wajumbe wa huyo Mungu ?Hapo umenena!ni mjinga tuu ambae hatakuelewa,kubali ndoa ni agizo toka kwa Mungu.
Noma sana!Hao wanaokataa ndoa wana hoja maridhawa, nimewahi kuwasikia mapastari wawili kwa nyakati tofauti wakiponda kuoa.
Wanasema ni matatizo matupu, kupigana, mizozo, mara unununiwe, mara unyimwe unyumba halafu anapewa mwingine kwa raha zote huko nje, ni ngumi kwa kwenda mbele, taabu tupu. Wanaonya kama utaweza kukabiliana na changamoto za ndoa oa tu, kama vipi jitafakari sana.
Pastari mwingine alisema kama miaka inarudi nyuma awe kijana hana hamu ya kuoa hataki kuombwa hela kila siku. Ndoa nzuri pale unapohitaji huduma ya penzi tu. Penzi la kwenye ndoa halina gharama unapata muda wowote ukitaka.
Mapenzi yamekuwa ghali sana siku hizi huwezi kupata penzi la bure kwa mwanamke asiye mke wako. Waliowahi kuingia kwenye ndoa zikavunjika wana hoja za kukataa ndoa wasipuuzwe
Utata unaanzia pale unapo shawishi watu kuna Mungu then wakibanwa swali utasikia mambo ya Mungu hayachunguziki kwa akili ya kawaida wakati yeye katumia akili kukushawishi.Kuna uhusiano wa
Kataa ndoa na hakuna MUNGU.
Mkuu NDOA ingekuwa tamu kama inavyopigiwa Promo, basi hakuna ambaye angemshauri mwenzake AOE.Maana yake ni kwamba watu wanaokataa Ndoa ni watu wanaofanya uzinzi hili kukizi matamanio yao ya mwili.
Umeongea vyema kabisa...Mkuu NDOA ingekuwa tamu kama inavyopigiwa Promo, basi hakuna ambaye angemshauri mwenzake AOE.
Msosi wa kushiba huwa unaonekana tu hata ukiwa kwenye sahani, sio lazima ule ndio ujue utashiba.
NDOA ina misingi na sheria zake, ukiona mtu anakataa basi ujue hajatimiza au hayuko tayari kufuata hio misingi na hizo Sheria.
Learn.
Kuna sehemu inasema alitaka ngono?Hivi Yesu alikuwa mzinzi ?