Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,916
Mnakaribishwa sana kwenye uwanja wa Biafra, Mwalimu Christopher Mwakasege anafundisha kila siku jioni mpaka jumapili ya tarehe 20, 03, 2011. Wote mnakaribishwa sana
Asante sna
utaenda au unatoa asante za bure tu hapa dear
Mnakaribishwa sana kwenye uwanja wa Biafra, Mwalimu Christopher Mwakasege anafundisha kila siku jioni mpaka jumapili ya tarehe 20, 03, 2011. Wote mnakaribishwa sana
Yule mzee wa loli kashamzidi kete!
anafundisha nini?
Anafundisha neno la Mungu, Yule ni mwalimu wa dini
Maswali yataruhusiwa?Anafundisha neno la Mungu, Yule ni mwalimu wa dini
Na wewe si mtumishi wa Mungu?Mpwa, acha mzaha na watumishi wa Mungu.