Khaa!! Kwa hiyo bibi yao yeye ndiyo hataki gari mpya?? Nauliza tuYaani Mimi Natalia GUITAR naliweza nitamwimbia mume wangu " what about love " uliimbwa na HEART .Wanangu wanapelekwa kwa bibi Yao .nyumba nzima ni Mimi na mume wangu jinsi ninavyompenda mpaka Kesho Yake aninunulie gari mpya .Nashukuru mwenyezi Mungu I'm loved .
Yaani Mimi Natalia GUITAR naliweza nitamwimbia mume wangu " what about love " uliimbwa na HEART .Wanangu wanapelekwa kwa bibi Yao .nyumba nzima ni Mimi na mume wangu jinsi ninavyompenda mpaka Kesho Yake aninunulie gari mpya .Nashukuru mwenyezi Mungu I'm loved .
Nimepanga kulala tu siku nzima. .na kuangalia movie Honey Faith miss neddy Ntuzu Khantwe
Na ndugu na jamaa wote humu. ..I miss you sana...
Mkibaki wenyewe ndani ya nyumba hata kuvaa haihusu kitu mnazuka ni birthday suits tu kwa raha zenu.
Nitakuwa Emaus center tuki-show LOVE na kurudisha penzi lilipotea kati yangu mimi na YESU. Mbarikiwe sana.