sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,168
Mitishamba!.What's the Alternative?
Wanasema Wenyewe Kila Jambo Haijapata KutokeaMzimu wa mwenda..π
Yes, miili yetu Mungu aliiumba ikiwa na kinga ya asili ya kujitibu yenyewe. Madawa ya viwandani huharibu kinga asili na kuufanya mwili uanze kuwa tegemezi kwa hayo madawa sumu. Mleta mada uko sahihi.Watu ni wajinga sana, kitu cha maana wanachokiona ni kujengewa zahanati kila kijiji, lakini nawaambia hivi Medical system yoyote pale duniani zinafanana kwa principle zake za uendeshaji.
Medical system haipo kwa ajili ya kutibu na kufuta magonjwa bali kuyaongeza na kuyaongeza zaidi, watu hamshituki kila kukichwa watu mnafia huko hospitali, na bado huendi hospitali unaenda duka la dawa hapo jirani kununua sumu, unakunywa ukizidiwa unaenda kumalizwa huko hospitali.
Tena hawa medical system wanashirikiana na taasisi za serikali kama hizi FDA ya Food and Drug Authority kukataza vitu sahihi kwenye vyakula ila mnaruhusu synthetic foods bila kuwasahau Food and Drinks industries mnajijua kuzalisha vyakula na vinywaji kisha mnatia 'sumu' ili watu wawe wagonjwa na then kwenda hospitali kutibiwa.
Kwa hiyo kujenga zahanati na maduka ya dawa kila sehemu ni kupeleka magonjwa zaidi na tabu
Pia kuna network nyingine ya waandishi wa habari wajinga kuzuia mabango kama haya kuwafikia watu
Ahsanteni sana kwa kusoma mimi njaa inauma sasa.
Watakuelewa wachache sana wenye akili tu. Uliwahi kumsikia hata waziri wa afya akiongelea sukari ktk chakula na vinywaji vya viwandani, ona pipi ulizotafuna zilivyokutoboa meno. Siku hizi vijana wadogo pressure juu kisa mikorie!!!!!Watu ni wajinga sana, kitu cha maana wanachokiona ni kujengewa zahanati kila kijiji, lakini nawaambia hivi Medical system yoyote pale duniani zinafanana kwa principle zake za uendeshaji.