Mnaiona hiyo neema toka Davos watanzania?

Mnaiona hiyo neema toka Davos watanzania?

mpayukaji

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
940
Reaction score
349
kik.jpg
Kwa tabia za watawala zetu zilivyo, picha hii ya Bill Gate na Kikwete itakuwa big hit. Kwa ufupi mtaambiwa kuwa mkiona rais anasalimia na Bill Gate mjue uchumi unakuwa kama alivyowahi kujisifia mlevi mmoja wa madaraka kuwa ukiona Clinton anakuja Tanzania jua uchumi umekua. Wengi tulihoji mantiki ya rais kuunguza fedha kwenda Davos. tulichoambulia baada ya rais kurudi ni picha kama hizi ambayo kwangu mimi ni neema ya picha.​
 
Yani picha tu...CAMEROON kasharudi kwao....Bado ANGELA MERKEL chancellor wa GERMANY nae atamvizia apige nae picha sijui na nani mwingine labda mfalme wa SAUD ARABIYA nae apige nae picha. Then akirudi sijui atajificha wapi maana migomo ndo itakua imeshika kasi..KUKIMBIA TATIZO SIO SULUHISHO BALI UNAONGEZA TATIZO.....Kama issue ilikua ni ya madakitari sasa nawengine nao watataka sasa apo mh JK utakua umesolve tatizo kwa kuondoka nchini
 
Tatizo la huyu mkweree ni kuwa he does not want to take responsibility kwa makosa yake yeye mwemyewe kama Rais na serikali yake badala yake he wants to shift that responsibily and blame of failed policies to his assistants especially the un inspirational prime minister; ndio maana file la maamuzi juu ya posho za wabunge na mgomo wa madaktari akalisukumia kwa Pinda na yeye akakimbilia DAVOS kutembeza bakuli!!
 
Bill Gates is a very smart fellow kama mkweree anafikiri atavuta Dollars hapo kama za mwarabu wa Kimpiski ajue hapati kitu kwani misaada anayotoa huyu bwana kama ni dawa anahakikisha unapata dawa, kama nishule anakukabidhi jengo la shule. Hawa wafadhili wamejifunza huko nyuma walikuwa wanatoa fedha zikaishia kwa wake za marais kununua mikufu ya dhahabu badala ya kununua madawa ya wagonjwa!! Pole sana mzee hapo hakuna mkwanja!!
 
Sijui hapo anajisikiaje kushikana mkono na mtu ambaye hela aliyonayo ni karibu mara tano ya bajeti ya nchi anayojidai kuwa rais.
 
huyo sio bill gate huyo ni mweyekiti wa vodafone .kama nimekosea naomba kurekebishwa.maana vodacom wamerusha picha kwenye facebook kikwete na mwenyekiti wa vodafone.
 
Boooooooooooommmmmmmmmmmmmmmmmmmm hilooooooooooooooooooooooo vyuoni litaingiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Madaktari nao neeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeemaaa hiyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo.
 
Vingozi wengi Africa converged to Ethiopia for heads of state summit to discuss African solutions to African problems sisi kiguu na njia hadi Davos 'for what i dont know'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom