Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,173
- 190,748
Zama anajua handling ya mume no doubt, mwanaume kufikia hatua ya kufanya kitu cha aina hio ni kuwa ana highest degree of respect kwako. I wonder kuwa ni mtamu kihivyo ila kwa tabia inaonesha yuko njema sana.ungeishia whaaat?!!??acha apewe life ndo hili hili...!!!
Ila Zama anaonekana ana utulivu sana ktk ndoa au akiwa na mwanaume hua anaridhika mnooo




