Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,494
- 21,444
Sikupingi mwamba,Nilitaka kukushanga Kama utakwenda kinyume namm ,mnk huwa nakueleewa Sana jinsi mlivyo mbana mkuu wa fasihi akatokomeaa kusiko julikana
Mm sioni tatizo awe kajininulia au amenunua kikubwa tumuombee
Nipo na wewe bega kwa bega

Hata hivyo, ni mjinga pekee ambaye atashindwa kumpa hongera huyo mwanamama, mimi mwenyewe ndoto yangu ni kusukuma Lamborghini moja matata


