Mnaendeleaje?

Kwa hyo ww utaki kazi na Bata mkuu?
Huyu ni kati ya walioiharibu nchi hii !! Pamoja na unafki wa kujifanya democrat, lakini aliharibu mchakato wa katiba mpya (rasimu ya Warioba). Na hapo ndipo penye shida ya utawala mbovu Tanzania.
 
aliyekuwa dhaifu sasahivi mnamsifu kwa mapambio ya ufipa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…