Mnadeal vipi na mwanamke mfujaji?

Aisee utaniua, mie nataka nile nishibe hata kama ni mlo mmoja tu. Sasa budget za namna hio mbona kali sana. Ugali paka haruki na perege 3 aisee? haitafaa πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
budget yako nyoko hio
 
Vereeeeee right
 
Aisee utaniua, mie nataka nile nishibe hata kama ni mlo mmoja tu. Sasa budget za namna hio mbona kali sana. Ugali paka haruki na perege 3 aisee? haitafaa [emoji1][emoji1][emoji1]
budget yako nyoko hio
Bajeti inaendana na uchumi, ukiwa unatoa kodi ya meza ya kutosha nakubaniaje sasa
 
Utashiba kuku peke yake? Kama una njaa sana si upike na kingine mfano ugali, wali, ndizi n.k
Hahahaaaaaaa, humu kuna watu huwa wanajifanya wana uwezo, mtoa mada yupo sahihi kabisa ila kuna watu wameamua kumnanga tu, kama mtu mmoja anaweza kula kuku wawili kwa siku, ukiwa na familia ya watu watano wanakula hivyo na matumizi mengine ya rafu si utapinda mgongo unatumikia watu[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hapana mkuu huyo kwanza anaonekana bado mdogo hata maisha hayajui kwa hiyo ni wa kufundishwa tu
Hamna ni mtu wa sifa tu ampe muda ataona yaani anaweza asuke leo rasta kesho afumue,nguo harudi mara tatu anashindana na rafiki zake...wapo wengi wa aina hiyo na hasa ambao hawatafuti hizo hela kwa jasho lao!
 
Mtimue tena fukuza fasta bila kumpepesea macho. Sio mara zote mvumilivu hula mbivu ila hukosa kabisa muda mwingine. Fukuza kabisa nyambafuuu...
Kama mimi piga vunja charaza makofi mabuti ya kutosha na teke moja aka tue kwao uo upumbavu hatutaki mjini mjini akili alaaaha!
 
Awe anamfinya
 
careless women need smart men to understand their stupidity and love them dearly..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…