Mnadeal vipi na mwanamke mfujaji?

Una gubu....unamind vitu vidogo sana
 
Mtimue tena fukuza fasta bila kumpepesea macho. Sio mara zote mvumilivu hula mbivu ila hukosa kabisa muda mwingine. Fukuza kabisa nyambafuuu...
Lipumbafu kwel,yaan limenikera hapa dah,ngoja niangalie mpira tuu
 
Mkuu sidhani kama ni uchoyo, kupangilia budget muhimu. Lakini alitakiwa pia amwambie mwenzie kwamba hao kuku tumia mmoja huwenda mwenzie huwa anafikiri wameandaliwa kwaajili yake
Sawa mkuu.

Kesho karibu Kivule. Nimekuandalia sangara wa kilo 20.
 
Huyo ni mkeo? Seriously una mind maji? Sabuni? Mimi hata sijui kama huwa wanatumia maji au sabuni coz ni negligible
Pacha, tatizo linaweza kuwa hata sio vitu, tatizo ni tabia ya mtu kutojali. Leo tuko kwenye maji na sabuni kesho itakuwa kitu kingine, let's say mtu anawasha gari then anaenda kuoga anaacha inaunguruma, au mtu anawasha gas anaiacha inaendelea kutoka huoni kwamba inaweza kusababisha hatari kubwa? Na mwisho maisha huwa yanabadilika, leo hii una vijisenti unaweza kuona maji kumwagika bila sababu sio big deal kwa kuwa hau-struggle kulipa bill lakini zinaweza kuja nyakati mbaya kila shilingi mia inayoongezeka kwenye bill inakuongezea maumivu sasa kama mlizoeshana kuishi namna hiyo si ndio mwanzo wa kukimbiana halafu mnaanza kulaumu kumbe maradhi mnafuga wenyewe.
Hata kama vitu vipo kwa wingi nidhamu muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…