Akili Sina
JF-Expert Member
- Jan 18, 2018
- 303
- 2,250
Habarini wakuu, kuna tangazo nililiskia la YONO kwamba kutakuwa na mnada wa IST kesho tarehe 7 September, naomba kujua mnada unafanyikia wapi.
Nenda Kwenye Yard yao ipo karibu na Bahari Beach Hoteli, Kama nako hupajui Google Ramani au Ita Bajaji/ Uber/Taxify/Bodaboda Ikupeleke. Mwisho wa Thread= Tayari Imejibiwa.Habarini wakuu, Kunatangazo nililiskia la YONO kwamba kutakuwa na mnada wa IST kesho tarehe 7 September, naomba kujua mnada unafanyikia wapi.
Nashkuru kaka kwa msaadaNenda Kwenye Yard yao ipo karibu na Bahari Beach Hoteli, Kama nako hupajui Google Ramani au Ita Bajaji/ Uber/Taxify/Bodaboda Ikupeleke. Mwisho wa Thread= Tayari Imejibiwa.
Ila andaa 2milion kama kianzio mlangoni , ukipata gari wakata ukikosa wana kuludishia pesa yako
Nyingi zina mileage above 100,000Ni. Mpya au used ?
Mnada unaendelea?? Na bei zipojeNyingi zina mileage above 100,000
Dr Shika kawashikisha adabuIla andaa 2milion kama kianzio mlangoni , ukipata gari wakata ukikosa wana kuludishia pesa yako